UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

We deeply appreciate your expression of sympathy…
Katika ajili hii nimepoteza baba yangu mdogo kabisa na ndugu wengine wa karibu. It's so hard to find a word to say at times like this, Borny Njenga I will miss you, Ni mapema mno umetuacha. Umetufundisha maisha ni nini? Kwa wale wapitao na watumiao njia ya salasala (dar es salaam) baada ya ile minara ya simu, rami inapoishia, mbele kidogo kulikuwa na gereji ndogo. Umetusaidia sana katika huduma yako uliyokuwa ukitupatia pale, tutamkimbilia nani tena sasa hivi. Siwezi ongea zaidi nitaendelea wapa update hapa wandugu
 
Mungu awape nguvu na ujasiri familia ya Gregory Teu kipindi hichi kigumu kwa kupoteza idadi hiyo kubwa ya wanafamilia.
 
Mungu awapokee marehemu wote, huku tukiwaombea majeruhi wapone haraka, bila kumsahau majeruhi wa risasi aliyeko Nairobi
 
We deeply appreciate your expression of sympathy…
Katika ajili hii nimepoteza baba yangu mdogo kabisa na ndugu wengine wa karibu. It's so hard to find a word to say at times like this, Borny Njenga I will miss you, Ni mapema mno umetuacha. Umetufundisha maisha ni nini? Kwa wale wapitao na watumiao njia ya salasala (dar es salaam) baada ya ile minara ya simu, rami inapoishia, mbele kidogo kulikuwa na gereji ndogo. Umetusaidia sana katika huduma yako uliyokuwa ukitupatia pale, tutamkimbilia nani tena sasa hivi. Siwezi ongea zaidi nitaendelea wapa update hapa wandugu

Wanafamilia Tunawapa pole sana toka moyoni katika kipindi hiki kigumu sana, Mungu akawafariji na kuwafuta machozi kwa mkono wake. Majirani zangu wa Sembeti (Mchaki) na wote tupo pamoja sana katika machozi. R.I.P wahanga
 
Msiba mzito sana huu, mtoto wa binamu yangu ameoa hapo nao walienda na mkewe wakarudi na ndege. Bila hivyo wangekuwa nao humo. Pole kwa majeruhi tunawaombea uponyaji. Marehemu, Mungu awape pumziko la milele Amina.
Nyie ndo mmemuoa Mage eeeh? kwa kweli msiba ni mzito, Mungu awape faraja tu
 
Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani. AMINA x 3
 
We deeply appreciate your expression of sympathy…
Katika ajili hii nimepoteza baba yangu mdogo kabisa na ndugu wengine wa karibu. It's so hard to find a word to say at times like this, Borny Njenga I will miss you, Ni mapema mno umetuacha. Umetufundisha maisha ni nini? Kwa wale wapitao na watumiao njia ya salasala (dar es salaam) baada ya ile minara ya simu, rami inapoishia, mbele kidogo kulikuwa na gereji ndogo. Umetusaidia sana katika huduma yako uliyokuwa ukitupatia pale, tutamkimbilia nani tena sasa hivi. Siwezi ongea zaidi nitaendelea wapa update hapa wandugu

Poleni sana jamani, Mungu akawe faraja kwenu katika wakati huu mgumu, roho za marehemu zipumzike kwa amani!
 
Maskini,nilikuwa kwenye send off yao pale kiramuu hall;nimepoteza rafiki zangu wa karibu Vivian,big,Edwin,bony,eenh Mungu tupe nguvu katika kipindi hiki kigumu
Msiba mkubwa sana. Pole kwako na wanafamilia yote
 
Back
Top Bottom