Issue ya Lissu yaifikia Shirika la Kijasusi la kimataifa CIA

CIA? nitawatafutia wapi? Ha!ha!

SIjaongelea kuhusu CIA ,tukihitaji kufanya UCHUNGUZI basi usifanywe na SERIKALI wala taasisi zake,anatakiwa taasisi neutral,kama FBI au Scottyard mengine hayo mnayajua wenyewe.

Mnajijua kuwa mnahusika kwa 100% hamuwezi kuwatafuta pia.Tena mnajua msije mkajiaibisha mkajifanya mnafanya uchunguzi wakati mnafanya maigizo kwani manwajua fika akina nani wamefanya tukio.
 
Wapi Kuna CIA? Hapo

CIA’s primary mission is to collect, analyze, evaluate, and disseminate foreign intelligence to assist the President and senior US government policymakers in making decisions relating to national security.
Umempa facts kwa kukurupuka kwake nahisi yupo fasta ili awahi posho yake kule Nairobi.
 
Dah kichwa cha habari kimekosewa, pia kina tofautina na detail za habari nzima hahahahaha dah hay basi sawa
 
Dah kichwa cha habari kimekosewa, pia kina tofautina na detail za habari nzima hahahahaha dah hay basi sawa
 
CIA? nitawatafutia wapi? Ha!ha!

Unawatafuta kweni wewe ni serikali??Wanaotafuta haya ni serikali,wanachotakiwa kufanya ni kuwaleta wafanye uchunguzi wa kina kujua mbivu na mbichi.

Leo mnamficha Bashite,na mnamtetea kuna siku mtajutia haya.Hatoacha hili amelianza k=ukishakunywa damu ya mtu hutoacha,na Bashite hatoacha ndiyo ameanza.

Alivyofanya Clouds hamkuliona,ikaja kwa Nape mkamtetea,leo amejeruhiwa Lissu sababu ni mpinzani haiwahusu ila siku moja atakachofanya mtakuja kulia.Muda ni dawa.

Tunajua fika nani yupo nyuma ya kumiminiwa risasi kwa Lissu na hilo mnajitahidi kulificha ila hamuwezi kamwe kumficha Mungu
 
Wapi Kuna CIA? Hapo

CIA’s primary mission is to collect, analyze, evaluate, and disseminate foreign intelligence to assist the President and senior US government policymakers in making decisions relating to national security.
FB_IMG_1505724270274.jpg
 
Hivi mnalishwaga nini kabla ya kuongea huu uchafu.
Hivi CIA ni shirika la kijasusi la kimataifa kweli?
CIA na mambo ya lisu kupigwa risasi wapi na wapi?
 
Na Duniani Kote nchi Yeyote Wasomi Ni Wachache Shangilieni Kupendwa na PhDs ambao hufuatilia Uchaguzi Kwenye Television

Kwa Utafiti Huo Unadhihirisha Kuwa Chadema Hawataweza Kushinda Uchaguzi.

Ndani ya Familia Yenu Chadema Ina Mpiga kura mmoja ambaye ni Wewe maana

-Mama yako siyo Msomi
-Baba yako siyo msomi
-Bibi yako siyo Msomi
-Baba yako siyo Msomi
-Dada zako 3 siyo wasomi na Walishapewa mimba wakiwa Secondary

Sasa Chadema Itashindaje hapo!
 
Itafikia siku na nyie mtapigwa risasi.. Sijuhi na huo pia utakuwa ujinga..!!??
What goes around; comes around..!
Quote me wrong till that time matures..!!
Sasa Kwa Akili yako yenye Ukubwa wa Punje ya Ulezi hata Rais akipigwa Risasi unafikiri CIA watakuja? Out of context labda FBI
 
Back
Top Bottom