Recent content by nikolas digala

  1. nikolas digala

    Msaada: Mbegu hii ya Mahindi inaitwaje?

    yaaa.. inapatikana maduka ya pembejeo za kilimo kweli hiy Sent using Jamii Forums mobile app
  2. nikolas digala

    Msaada: Mbegu hii ya Mahindi inaitwaje?

    Iringa mafinga Sent using Jamii Forums mobile app
  3. nikolas digala

    Msaada: Mbegu hii ya Mahindi inaitwaje?

    Wadau.. Hii ni mbegu ya mahindi ambayo niliichukua kwa rafiki yangu Lakini yeye hajui ni aina gani hakumbuki kifupi. Mimi nimepata kujua ni mbegu bora ya mahindi, lakini ni aina gani hasa kitaalamu sababu wadau wengi wananiulizia jina lake wameipemda. Msaada kwa yeyote mwenye idea. Sent...
  4. nikolas digala

    Nijuzeni kuhusu chuo cha Chimala nursing Mbeya

    [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  5. nikolas digala

    Nijuzeni kuhusu chuo cha Chimala nursing Mbeya

    finacially am not even well... Labda nipmbe kama unajua list ya vyuo nyanda za juu kusini unaweza vitaja nifatilie
  6. nikolas digala

    Nijuzeni kuhusu chuo cha Chimala nursing Mbeya

    natafuta hapa kwa mtandao siona hata official website ndo maana nna madhaka
  7. nikolas digala

    Nijuzeni kuhusu chuo cha Chimala nursing Mbeya

    mara ya mwisho kujua hakijasajiliwa ilikuwa lini mkuu
  8. nikolas digala

    Nijuzeni kuhusu chuo cha Chimala nursing Mbeya

    Habari wakuu.. Msaada kwa anayefahamu chuo cha nursing kinaitwa CHIMALA kipo MBEYA kimesajiliwa na kinatambulika na serikali maana sina imani na vyuo hivi kuna mtu anataka kwenda kusoma huko. msaada wenu wadau.[emoji120] [emoji120]
  9. nikolas digala

    Utani wa ngumi..

    Nilifikiri nimeona maajabu yote kwa dunia hii.. but jana ninemwona kijana mmoja mwenye umri wa miak 16 kaingia baa na kuagiza 4 bottle of heineken na kuzinywa zoote na kukuanza kuondoka, muhudumu wa baa alimsimamisha na kumtaka alipie huduma aliyoipata ..bila kuchelewa jamaa alitoa chet chake...
  10. nikolas digala

    Staajabika na Kim Jong-Un (almaarufu kwa jina la kiduku) Rais wa Korea Kaskazini

    Kim Jong- Un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim Jog-Il (Rais wa pili wa Korea Kaskazini). Kwa sasa ndiye kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake Dec 19, 2011. Kim Jong-Un anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wenye msimamo mkali hasa kwa nchi za...
  11. nikolas digala

    Mwanaume bora

    zifa za mwanaume bora n hiz.. 1.hanywi pombe 2. Havuti sigara 3. Mkweli 4. Mchamungu 5. Hachepuki 6. Handsome 7. Mpole 8. Ana hela 9. Anajua mapenzi 10. HAYUPO DUNIANI Sisi wa Duniani tuvumiliane tu maana vita ya kumtafuta mume bora haijawahi mwacha mtu salamaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]...
  12. nikolas digala

    Level of wichcraft

    kuna watu katika marafiki ulionao ambao wanaangalia na kukagua page yako kila cku., lakini hakuna like wala coments ya aina yyte..balaa zaid n kwamba wameshindwa hata kukufuta maana wanaogopa sana watashindwa kupata updates unazopost wakifatilia kwa makini kitu gan unafanya.. Level ya uchawi ktk...
  13. nikolas digala

    Njia mpya ya kuwalinda wanawake

    Kutembea na wasichana wengi ni mbinu mpya ambayo inaweza kumlinda mwanamke wako unayempenda zaidi asivamiwe na maadui zako.. Ingawaje n ngumu kwa mwanamke kuelewa hii mbinu.. atabaki amekununua wakati unamsaidia[emoji3] [emoji3] [emoji4] wisdom will kill me[emoji23] [emoji23]
  14. nikolas digala

    Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom