Msaada: Mbegu hii ya Mahindi inaitwaje?

Aug 7, 2016
42
95
Wadau.. Hii ni mbegu ya mahindi ambayo niliichukua kwa rafiki yangu

Lakini yeye hajui ni aina gani hakumbuki kifupi. Mimi nimepata kujua ni mbegu bora ya mahindi, lakini ni aina gani hasa kitaalamu sababu wadau wengi wananiulizia jina lake wameipemda.

Msaada kwa yeyote mwenye idea.

20190228_065146.jpeg
20190227_094323.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom