Recent content by Nikolaevich

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hp server harddisk For Sale

    Mie ninazo kwa 100000kama bado hujapata nicheki Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KIWANJA MOROGORO.

    Kipo cha 3M, nanenane, watu tayari wameshajenga..ncheki 0713586753
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza bei ya mahindi iko chini kuliko kipindi cha mavuno, ni kilio kwa wakulima na wafanyabiashara

    Argument yako imeconsider wakulima wore au unaangalia wafanyabiashara wakubwa? Jaribu kufikiria kwa wakulima wote kama wanaweza Fanya hilo unaloshauri, sio kuongea tuu theory zako
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tuliosomea kwa Putin na Medvedev tukutane hapa

    Ya bwil v peter zakonchil tak favno Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tuliosomea kwa Putin na Medvedev tukutane hapa

    Ohhps voti maladie lyudi, u vas fsyo normalna ribyata Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania RAV 4 old model inahitajika

    Mkuu nina namba A kama uko interested nicheki mkuu tunaweza ongea bila shaka..ilatembea na inapiga masafa kama kawa haina shida Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania RAV 4 old model inahitajika

    Mimi nina namba A, ofa ni nzuri tuu ni pm if interested. Gari inatembea na iko gado.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Benki gani naweza kufungua akaunti na nikapata ATM card papo hapo?

    Nmb unapata in 15 minutes mkuu,
  9. N

    JamiiForums Tanzania Debe la mpunga morogoro

    True, huyu wa mwisho kaenda karibu na ukweli
  10. N

    JamiiForums Tanzania Eve packed products

    Ni vema waweka matangazo ya biashara zenu muwe mnaweja nabei msiogope kwani kila mwenye kutaka kununua lazma atataka bei na si laxima apige kwanza simu ndio ajue, kuna wengine wengi tuu ambao huvutiwa na bei kwanza then ndio aje apige simu kuuliza kwa maelezo zaidi, hamjui tuu jinsi mnavyokosa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Hello comrade, twaweza ongea but mie muda sina kabisa wa kusimamia, nipo commited sehemu nyingine. You can inbox kama upo interested.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya typhod kwenye kuku wa mayai

    Sina hakika na jina mkuu, kama ni jina hilo basi yamkini hata nikiulizia hapa mjini labda nitapata, ila nimeuliza baafhi ya maduka wamesema hawana ba ni ngumu kupata
  13. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya typhod kwenye kuku wa mayai

    Mkuu i hope iko confirmed hii dawa ya asili, ahsante nitajaribu mkuu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya typhod kwenye kuku wa mayai

    Wadau, mwenye kufaham wapi inapatikana chanjo ya typhod kwa kuku wa mayai. Nimejatibu kuuliza maduka ya mifugo hawana, ahsanteni
  15. N

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya Kuku wa Mayai Dar es salaam

    Naona wajuzi wa jambo hili bado hawajatembelea kipande hii, msaada bado unahitajika wadau
Back
Top Bottom