Nikupatie ya kwangu 12 milion haipungui. Namba ni AVP. Ila tambua kuwa cha msingi sio namba bali kutumika kwa gari. Gari yangu haina matumizi ya kila siku zaidi ni safari za long trips na ni maa mbili au tatu kwa mwaka. rangi ni ileile original, kwa sasa tairi zote tano ni mpya nimenunua mwaka jana. Kwakweli naringa kuiuza ukijisikia unahitaji kwa bei hiyo ya kutupa niambie chini ya bei hiyo basi usijisumbue I know the value of my car.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.