Recent content by Nikisema

  1. N

    SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Tupeni ukweli wa nani ni kameshina wa Prophet TB Joshua Tanzania na new anointing water imeshafika na brasileti
  2. N

    Tunahoji utabiri wa Wassira

    Utabiri wake umetimia kwake Maana 2015 ,Jimbo lake chadema analichukuwa apende asipende
  3. N

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Wewe bangi ccm kuna wasomi watomasa elim ,mbumbumbu wewe
  4. N

    Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Hawa kwenye picha Ni shabiki wa YANGA au wapo upande wa yanga na pamejaa kweli ni mechi Kati ya ccm na wasio na ajira mshindi nani sasa au droo
  5. N

    Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Hao wanaosema waliomaliza vyuo wajiajiri wao wenyewe wameajiriwa,watoto wao nao hawajajiajiri wameandikiwa vimemooo kwa wakurugenzi wakaajiriwa niambie mfano wa Mtoto wa mwanasiasa aliye madarakani ambae hajapitia ajira kabla ya kujiajiri ,hili ni tusi kwa masikini wasio na Namna ya kupata ajira...
  6. N

    Nini tofauti kati ya CCM enzi za mwl. Nyerere na CCM ya kizazi kipya?

    Hakuna cha makundi dam ya binadamu huwa haipotei hivi hivi ,laana za MUNGU aliye hai ndio zitawaondowa hata Kama wananchi watashindwa na familia zao zitateseka Kama za aliyekuwa raisi wa Libya na Iraq
  7. N

    Nini tofauti kati ya CCM enzi za mwl. Nyerere na CCM ya kizazi kipya?

    Mtakatifu huandaa watakatifu ,ikiwa inamaana anauwezo wakuionea huruma Nchi au taifa kwa kujuwa kwamba baada ya Mimi wapo watakao simama ,nakutetea Nchi ni yupi alieachwa na mnaemwita Mtakatifu ,huwezi ukaishi duniani Kama hutakufa ,Kama unalijua Hilo hata wewe kwenyefamilia panga mipango yako...
  8. N

    Ukiwaondoa Viongozi, Ni kwa nini washabiki wengi wa Ccm ni watu Maskini?.

    Shule za kata ndio kaburi la ccm mwaka 2015 Kama hujui ,Maana wanasema wamesoma hawana ajira Sio kwamba zimesaidia kujuwa haki na Dunia ilivyo japo kidogo ,Hilo ndilo kaburi,acha ma GRaduate waliopo mtaani toka 2010 piga hesabu
  9. N

    Hii sio brazuka ni usaili wa uhamiaji leo wahitimu imebidi wapelekwe uwanja wa taifa

    Uhamiaji ilichofanya ni kuwaonyeshe ccm kuwa ,kunawatu wasomi walio na uwezo wa kufanya kampeni kuiangusha 2015 ,asanteni Uhamiaji kwa kuwa alert ccm waamuwe wenyewe na NEC mapema iwezekanavyo Nchi inaelekea kwenye machafuko ,rudi nyuma katika historia kupuuzwa kwa wasomi ITALIA ninikilitokea...
  10. N

    Lowassa,Tutalivuka daraja

    Kwa Mara ya kwanza napanga foleni kwaajili ya lowasa,
  11. N

    Ufisadi mwingine waibuliwa Bungeni!

    Mimi nitakuwa wakwanza kuingia barabarani naombeni mniunge mkono watanzania hata wakinipiga risasi nyie msonge Mbele ,waambieni waandae SMG ya kunilenga huu ni upuuzi na kikwete kakaa kimya Nchi inamalizwa raisi gani huyu ,mi najiarabu ,nikipata saini za watu alfu moja wakuingia barabarani
  12. N

    Mbowe, viongozi CHADEMA wahudhuria harusi ya Nassari, wakwepa msiba wa mama Zitto

    Hayakuhusu Kama wenu mchukuweni ,hatutaki mamluki ,hivi kusoma hujui hata picha huioni
  13. N

    Maombi ya Katibu Mkuu, Kinana yaanza kutekelezwa, Rais Kikwete atoa amri kwa Jeshi la Polisi

    Mlikuwa wapi toka 2010 ndio mnaona wizi mnaofanyia wananchi , subirini kifo chenu 2015 ,hatudanganjiki kwa kinana kuwa mfanyakazi wa upinzani ,hivi mnadhani bado watanzania ni wale wa 1970 ,Nendeni kwenye nec mkajikosowe Acheni kujivua NGuo Mbele za wajukuu wenu
  14. N

    Rais asiye na makuu?

    Wewe Kama hajakuvua sijui ,hivi alikuta bei ya sukari bei gani,hivi alikuta bei ya unga shilingi ngapi,hivi alikuta wanaotumia mafuta ya taa Kama nishati hawana uwezo wa umeme bei ya mafuta taa ilikuwa bei gani, deni la taifa kipindi mheshimiwa mkapa anampa Nchi lilikuwa likoje, unavyo post vitu...
  15. N

    Siasa za kilaghai na kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe

    Ungekuwa umepungukiwa dam ningejitolea kukusaidia ila una upungufu wa akili wewe na ccm yako sinanjia ya kukusaidia
Back
Top Bottom