Ni upuuuzi,tu,waliomezeshwa,kwamba katoliki,ndio kuna maaskofu,onyesheni kwenye biblia mahali neno,katoliki limeandikwa,au dhehebu lolote,mpaka mjimilikishe,udaraja wa uaskofu,hicho ni cheo cha utumishi wa Mungu kwa wote ,acheni kukariri,neno LA Mungu kama litulujia,mnayoimba,huku matendo...