Nape Umeonyesha Upendo Mkubwa leo

Nape Umeonyesha Upendo Mkubwa leo

Chuki za siasa ziko mitandaoni ila mtaani tunashirikiana vizuri tu
 
Uchwara atamuadhibu kumbuka alikataza watu kwenda kumpa pole Kamanda Lema kwa jinsi alivyo na chuki za kutisha na roho mbaya.

Wadau
Leo mida ya leo mchana Mhesh Nape alipita maeneo ys soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa chadema.
Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa chadema bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mhesh Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake.
Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa uosnde wa CCM siasa sio uadui. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.
Hongera sana Kada wa CCM
Karibuni.
 
ccm kina wanachama wanaopendwa nchi nzima
 
Mbona si si tunatoa hela ya chai kwa wapiga debe n hatuji kutangaza.Wanasaisa ni watu hatari sana wanatoa chenchi zao ila wapate public publicity
 
Wadau
Leo mida ya leo mchana Mhesh Nape alipita maeneo ys soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa chadema.
Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa chadema bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mhesh Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake.Naamini Mhesh Nape alikuwa kwenye majukumu mazito yakichama lakini aliona nivema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa Chadema.
Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio uadui bali maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.
Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.
Karibuni.
kama siasa sio uadui mbona CCM jana mmevamia mkutano wa CHADEMA Mbweni?? Kama siasa sio uadui Tunduru ACT WAZALENDO wamevamiwa na vijana wahuni wa CCM?? kutoa elfu 20 hakufuti ujinga mnaoufanya CCM kwa wapinzani
 
Lumumba yamejaa mabuku 2 yote yametinga mashati ya kijani yanasubiri Posts wanazopewa kuna Dr.Slaaaa
 
Kumbe ni makosa na ni laana kwa mtu wa ccm kushirikiana na asiye wa ccm? hapo ndipo tumefika?
 
kwani kahawa na kashata shilling ngapi mpaka iwe mada humu
 
Wadau
Leo mida ya leo mchana Mhesh Nape alipita maeneo ys soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa chadema.
Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa chadema bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mhesh Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake.Naamini Mhesh Nape alikuwa kwenye majukumu mazito yakichama lakini aliona nivema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa Chadema.
Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio uadui bali maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.
Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.
Karibuni.
another idiot
 
Back
Top Bottom