Dr. Magufuli Regime against Kakobe perception

Maana ya neno "Askofu" ni mwangalizi Kakobe ana makanisa zaidi ya 400 nchi nzima kwa hiyo ana haki ya kuwa Askofu
Kakobe hana makanisa sema ana huduma za " kujifunzia" Biblia zaidi ya 400 utaeleweka. Hizi huduma hazina tofauti sana na vituo vya maandalizi kwa ajili ya mitihani ya QT!
 
Nani amekuambia hiyo huduma ( ngo) ya Zskaria ni dhehebu?!!....dogo jiongeze!
kama FG itakuwa NGO, na imepewa usajiri km CHURCH, basi walaumu wenzawazimu wenzako walioipa usajiri as kanisa.
Mim na wengine wengi tunamfaham kakobe kama Askofu.
Wew na wengine wachache kwa hisia zenu, endeleeni kuumia kwa hilo
 
Ni upuuuzi,tu,waliomezeshwa,kwamba katoliki,ndio kuna maaskofu,onyesheni kwenye biblia mahali neno,katoliki limeandikwa,au dhehebu lolote,mpaka mjimilikishe,udaraja wa uaskofu,hicho ni cheo cha utumishi wa Mungu kwa wote ,acheni kukariri,neno LA Mungu kama litulujia,mnayoimba,huku matendo yenu,yanamkufuru Mungu ,
 
Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Usinijibu kwa jaziba.Kwenye Biblia kuanzia mwanzo mpaka Ufunuo hakuna neno daraja LA Uaskofu,kwanza nikuulize unaelewa kazi za Askofu? Anateuliwa au ni juhudi za Mchungaji! Kasome mwenyewe Timotheo - 1 Timothy 3

1 Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema.
2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
3 si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
6 Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
7 Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi.
Kumbuka mjadala huu nimpana ila itoshe kukwambia Maaskofu Wa RC hawatambuliki kiBiblia maana kipimo cha uaminifu ni familia sasa kama hawana wake na watoto watawezaje kuchunga kundi?
Leo nimejumuika na Waumini wenzangu katika Dominica ya 3 mwaka B parokia ya Chuo kikuu Dodoma kigango cha mtakatifu John Fisher School of social Science,Neno kuu lilikua "TUBUNI NA KUIAMINI INJILI"
Nikakumbuka saga la namba moja wetu pale juu na Baba Askofu Kakobe pale ambapo watawala wanakosolewa na kudai Viongozi wa Dini wanaingilia mambo ya Siasa.

Kwa kweli mkatubu tu Mungu anampenda anaejishusha.

Nawasilisha.

Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
 
Nenda katubu we mluga unamuiga babako kugoma kutubu
Umeshapanic! Ujiulizi kwanini TRA wanajiendea tu pale kukagua au kwanini Chikawe alitishia kuxifutilia mbali hizi huduma?....ni kwa sababu zimesajiliwa kwa penseli!
 
Kitabu cha mwanzo. Pale Mwenyezi Mungu alipoona kwamba Adam ni mpweke akamuumbia msaidizi Eva.
Kuoana ni utaratibu kila jamii imejiwekea, siyo kama catholics wanavyotaka iwe
 
Hapa tunazungumzia daraja la " Askofu"....... hilo la ndoa kaisome vizuri Biblia halafu anzisha mjadala , utajibiwa!
Timotheo - 1 Timothy 3

1 Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema.
2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
3 si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
6 Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
7 Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi..

Je, kuna sababu ya kuwaamini Maaskofu wa RC? HAWANA SIFA ZA KUA MAASKOFU.
Kwasababu hawaoi nakama hawaoi maana yake hawana familia.KAKOBE ANA SIFA ZOTE.Acheni kudanganywa someni Biblia.
 
Usinijibu kwa jaziba.Kwenye Biblia kuanzia mwanzo mpaka Ufunuo hakuna neno daraja LA Uaskofu,kwanza nikuulize unaelewa kazi za Askofu? Anateuliwa au ni juhudi za Mchungaji! Kasome mwenyewe Timotheo - 1 Timothy 3

1 Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema.
2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
3 si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
6 Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
7 Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi.
Kumbuka mjadala huu nimpana ila itoshe kukwambia Maaskofu Wa RC hawatambuliki kiBiblia maana kipimo cha uaminifu ni familia sasa kama hawana wake na watoto watawezaje kuchunga kundi?
Kwa hiyo kipimo cha " juhudi" za uchungaji wa Kakobe kilifanywa na nani?
 
Umeshapanic! Ujiulizi kwanini TRA wanajiendea tu pale kukagua au kwanini Chikawe alitishia kuxifutilia mbali hizi huduma?....ni kwa sababu zimesajiliwa kwa penseli!
Hakuna taasisi isiyo ya kiserikali ambayo haiwez kufutwa.
Kama unataka kuegemea kweny hilo, basi yaonekana fika kuwa umelewa mvinyo ulo-expire.
Makanisa yote yanaweza kufutiwa usajili
Vyama vya siasa vyote vinaweza kufutiwa usajili
Taasisi nyingine zote (NGOs) zinaweza kufutiwa usajili
Ni suala la nani ameshika mpini na ana nguvu ipi

Kwa maana hiyo, hata kanisa lako linaweza kutishwa, na lisifanye lolote.
 
Wakati wewe unaumia kuona Kaboke anaitwa Baba Askofu Kakobe,,,,maelfu wa watu wanaona ni sahihi.
Hisia za kiimani na za kisiasa haziwezi kuufuta uaskofu wa Zacharia Kakobe.
Waumini wa FG churches na wakristo wengine wengi tanzania na nje ya tanzania wanaamini na wanajua kuwa Zacharia ana daraja la UASKOFU.
Punguza dharau, punguza hisia, heshimu japo kidogo tu...maana hata ukikataa kuwa kakobe sio askofu, bado ataendelea kuitwa Baba Askofu, na kikubwa zaidi, ataendelea kuwa mjumbe wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Atakuwa mjumbe wa baraza la maaskofu Tanzania!!!! Baraza gani hilo mkuu, mbona hilo jukwaa silifahamu? Mimi najua TEC ( Tanzania Episcopal Conference) ambalo ni jukwaa linalowakutanisha maaskofu wa majimbo yote Tanzania kwa wakatoliki, kama kuna jukwaa ambalo Askofu Kakobe , askofu gwajima etc ni wajumbe wake hebu tujuzane.
 
Nani amekuambia hiyo huduma ( ngo) ya Zskaria ni dhehebu?!!....dogo jiongeze!

Hata Catholic, Lutheran, Moravian, Anglican, Jehovah Witness, Jeshi la wokovu nk nk, zote hizo ni NGOs tu za kiimani zenye kutoa huduma za kiroho!!

Tofauti hapa ni ukubwa, ukongwe na Asili ya kila NGO. Kama ulikuwa huelewi hilo, then it's your golden opportunity to put that in your head, dude.... Right!?

Na by the way, ndiyo maana nilikutaka utumie akili yako huru kujielimisha na kujisomea na si kupokea na kukaririshwa tu mkubwa na kuja kumwaga upupu wako humu!!
 
Kitabu cha mwanzo. Pale Mwenyezi Mungu alipoona kwamba Adam ni mpweke akamuumbia msaidizi Eva.
Hakuna mtu aliyeumbwa na Mungu jina lake Eva.
Hapa nd unaonesha jins gani umekaririshwa na katekista wako.
Mwanamke aliyeumbwa hapa duniani ni Hawa pekee, wengine wote walizaliwa.
Na hiyo Mwanzo unayosema, hakuna mtu anaitwa Eva aliyeumbwa kwa ajili ya Adam.
Rudi kafanye mafundisho ya komonio
 
Mimi sina shaka na cheo chake cha Uaskofu ninachokataa nikumuita Baba wakati Biblia inakataza,naweka ushahidi kwa lugha mbili.....
Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven.
 
Hakuna taasisi isiyo ya kiserikali ambayo haiwez kufutwa.
Kama unataka kuegemea kweny hilo, basi yaonekana fika kuwa umelewa mvinyo ulo-expire.
Makanisa yote yanaweza kufutiwa usajili
Vyama vya siasa vyote vinaweza kufutiwa usajili
Taasisi nyingine zote (NGOs) zinaweza kufutiwa usajili
Ni suala la nani ameshika mpini na ana nguvu ipi

Kwa maana hiyo, hata kanisa lako linaweza kutishwa, na lisifanye lolote.
Hahahaa...!!!!... Kasome sheria ya vyama vya siasa uone kama chama dume kinaweza kufutiwa usajili halafu eti " makanisa" yote wewe inaelekea umelewa mbege!
 
Hakuna mtu aliyeumbwa na Mungu jina lake Eva.
Hapa nd unaonesha jins gani umekaririshwa na katekista wako.
Mwanamke aliyeumbwa hapa duniani ni Hawa pekee, wengine wote walizaliwa.
Na hiyo Mwanzo unayosema, hakuna mtu anaitwa Eva aliyeumbwa kwa ajili ya Adam.
Rudi kafanye mafundisho ya komonio
komuniooo.
Awa wakatoliki kwenye neno LA Mungu wako 0 wao wameshika mapokeo ya mapadri hawajui kuwa kwenye Biblia ata neno padri halimo.Wakati mwingine utamani kuwaita mawakala wa shetani.Wakatubuu tu hakuna namna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom