Recent content by Nihzrath

  1. Nihzrath

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu nimekucheki PM Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nihzrath

    Benard Morrison Acha Kabisa...

    Hakika huyu Morrison ni hatari hatari sana.... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nihzrath

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Well said..Roger Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nihzrath

    Maelezo ya Nyerere kwa Gen. Kombe na Membe kuhusu Jack Gotham

    Mkuu naomba ufafanuzi...Nijuavyo Gen Amran Kombe aliuawa kwa kupiwa risasi kihisiwa kuwa ni jambazi...ama order Wakati Kombe anauawa alikuwa amekwisha staafu katika nafasi ya mkuu wa idara....na mkuu wa idara alikuwa ni Apson Mwang'onda..Sio kuwa Mwang'onda alikuja kuwa mkuu wa idara baada ya...
  5. Nihzrath

    Waliojitoa kwenye uchaguzi watakiwa kuandika barua kabla ya saa 10 jioni leo

    Suala la mgombea binafsi haliepukiki hata kidogo....Kwa tamko hili na kushadidia hoja hii...Automatically unakubaliana na hoja ya kuwepo mgombea Binafsi. Maana Katiba yetu ina utata katika suala hili...Kama Chama kikijiondoa kwenye uchaguzi..kiujumla mgombea yoyote kupitia chama hicho anapoteza...
  6. Nihzrath

    Interview ya Zahera E FM imenipa picha halisi ya soka la Tanzania

    Alichokiongea mengi ni sahihi...Mbona Yanga haichezi soka zuri hata kabla ya Dr Msola hajawa mwenyekiti? Kwahiyo hata usajili wa wachezaji wa kimataifa ni Dr Msola amewapendekeza... Aaah hakuna kocha mle ni dalali tu..
  7. Nihzrath

    Wanawake mnakwama wapi?

    Unapomuona mwanaume wako( Mwenza wako katika mahusiano yenu) amekuwa na tabia za kukuomba picha za utupu umtumie kupitia Wasap au anapiga video Call...huku akitaka umuoneshe maumbile yako ukiwa uchi. My Sisters..Huyo mtu hakufai sio tu kuwa mpenzi bali hata rafiki. Hayo si mapenzi. Mwanaume...
  8. Nihzrath

    Ni wakati wa kumpa jina analostahili Lionel Messi

    NA NIHZRATH NTANI WAKATI mwili wake utakapokuwa ukishushwa katika ardhi ya mji wa Rosario. Ni kilomita 300 kutoka mji mkuu wa Buenos Aires nchini Argentina. Ni ardhi ile ile iliyowameza wachezaji maarufu na mashujaa wetu hata wapendwa wetu. Ardhi isiyo na huruma hata kidogo. Ni katika mji huo...
  9. Nihzrath

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Has Real Madrid gone into a decline? The core team that won 3 in a row consisted of Keylor Navas. He was nowhere near the best in the world, not like Neuer or De Gea (in 2014–2017) but he was very, very instrumental, inspiring the team on, making adequate saves and not losing a single KO...
  10. Nihzrath

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nataka kama hii inch 43 kiasi gani mkuu?
  11. Nihzrath

    Mwanafunzi wa Kigonsera afariki akifanya mtihani wa Kidato cha 6

    Hii shule ina utamaduni wa kila unapokaribia mtihani wa form six...mwanafunzi lazima afe...tena anayekufa ni wa form six na huwa kutoka mchepuo wa sayansi... Hiki sio kifo cha kwanza au cha pili katika staili hii..tena wanakufa ghafla tu... Kwahiyo kuna tatizo ndani ya shule hiyo..jamii na...
  12. Nihzrath

    PERLUIGI COLLINA: HANA MFANOWE

    NA NIHZRATH NTANI Jioni moja ya mwaka 1977 ndani ya mji wa Bologna nchini Italia. Vijana wadogo wenye umri kati ya miaka 15-18, walikuwa na mechi kati yao. Mechi yao iliwakutanisha watoto wa kutoka sehemu ya Tuscany na wale kutoka eneo la Forte du Marmi. Ni mechi iliyojaa upinzani mkubwa kwa...
  13. Nihzrath

    UKWELI KUHUSU WANAWAKE

    Ukweli ni kuwa; Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza. Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi wanaume wapole sana. Ukimsikiliza sana anachokitaka....Mwanamke anakudharau. Wanasema wanapenda...
  14. Nihzrath

    Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

    Usimuamini mwanamke hata kama amekufa...
Back
Top Bottom