Recent content by Niger g

  1. N

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    TATIZO NI KWAMBA wewe Huna uchungu NA NCHI yako hao WENYE Shule ZA binasfi wamegeuza biashara haramu hata Kama NI Ada waangalie hao wazazi wanaolipa sio WOTE WENYE uwezo huo, SASA KWA magazine yako butu usiturudishe NYuma . Tumuunge mkono JPM atuondolee udhia HUU . ACHA UJINGA FUNGUKA
  2. N

    Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

    Jenerali leo umenigusa katika hili nimekuwa nikifuatilia sana maandiko yako nikweli tunajaribu upuuzi na sasa tumeuona angali Waziri anakwambia hela ya mboga million 10, mwingine vijisenti eti bado wanapumua na sisi tunachelekea kama sio upuuzi wa Kikongo utakuwa nini?!
  3. N

    Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

    Tatizo lako unadandia gari kwa mbele unfetulia ungemwelewa J Ulimwengu, hiyo ni fasihi kwa hiyo usilichukulie neno kavukavu utaishi kijaribu uupuuzi wakati wewe sio
  4. N

    Uhaba wa dawa wamng'oa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya!

    Hongerara SANA. Eng Colonel Simbakalia hapa nipo pahala pako !
  5. N

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Hebu mmojawenu aliyepo au anayefahamu nini kinaendelea taupe story hasa tufaidike
  6. N

    Timu ya Kampeni ya Pinda Mizengo Wasambaza Waraka Makanisani

    Waacheni wakatoliki katika hili, wao wanamipangilio katika kutafuta thamani ya binadamu katika dunia hii na si kuchagua rais awe nani , mmeanza kupakazia watu eti sababu tu ni wakatoliki wanahaki ya kugombea nafasi yoyote kama watatimiza vigezo na si ukatoliki wao. Ukatoloki wa pinda usiwe...
  7. N

    January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015

    Ndugu yangu JM wazo lako zuri sana, lakini omba kwanza ushauri jipime Mara Saba then amua.kuna wengi wametoa comments zao. Zipitie tena na tena. Ukiona kama kweli una fit kuwa Rais endelea lakini kama ni mihemuko ya ujana endelea kujiandaa. Wakati ukifika utaona tu wewe mwenyewe unaombwa au...
  8. N

    Suala la Zitto ni malengo ya kututoa kwenye mjadala wa Katiba by Lecturer Mzumbe University

    Hebu wanamageuzi jaribuni kuuangalia ushauri mzuri wa lecturer Huyu kuliokoa taifa Letu
  9. N

    Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

    Wewe kama ungelijulikana wangepata pa kuanzia Kwani ni dhahili unajua linaloendeleA. Ole wako ungekuwa shujaa, maana ungelisaidia huo Ugaidi ukomeshwe.cha kushangaza we ni mdini tu. Huna maana wala akili mzigo tu.
  10. N

    INASIKITISHA: Mama Maria Nyerere anyimwa kitambulisho,Mama Karume apoozwa kuwa atapewa

    Káma kweli JK alilijua hili kuna haki ya kila lawama kumwangukia, na kama ni kweli ameingia kwenye dhambi ya ubaguzi hata acha, na dhambi hii itaendelea kumtafuna na ´kumtafuna. Mpaka atakapotubu but Time will tel.
  11. N

    Kumbe Waziri Anna Tibaijuka naye fisadi

    Kama kuna ukweli wowote juu ya hili huna budi kuliweka hadharani ili.ashugulikiwe kama alivyolfanywa Kalamagi. Maana kuendelea kulalama bila kusaidia nchi ni sawa na kuungana nao.
  12. N

    Decentralization in CHADEMA(Muundo wa Majimbo): A Positive Move

    Siko tofauti na wewe lakini.sera hii imepotoshwa na CCM.matokeo yake inaonekana kutaka kugawa nchi hivyo, Hatuna budi kuendelea kuuelemisha umma tukitilia Maanani matokeo ya suala la gas lilivyoshughulikiwa na wananchi wa huko. Vipi Geita,ShinyAnga na kwingineko kama Mtwara?
  13. N

    Upofu wa rais na watendaji wake katika sakata la gesi Mtwara

    Hii ndio haasara ya kuwa Na viongozi wanaoangalia maslahi ya familia zao na marafiki wao.kama wangefuata approach ya down top haya yasingelitokea. Sasa wacha iwatafune kama Ile dhambi aliyokuwa akiiserma Mwalimu
  14. N

    PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    Inatia simanzi sana kama ukilifikiria kwa undani suala la walimu. hebu angalia nyumba hizo; natumai umefika wakati wa walimu wenyewe kutumia ushujaaa kama wa Mgaya kwa kuuungana na kukataa kuendelea kutaabika chini ya mwamvuli wa CCM: Dr Slaa alisema Elimu iwe bure kuna watu walimbeza sana. Leo...
Back
Top Bottom