Recent content by niester

  1. niester

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nane ni tarehe ambayo Dr. Abassi anaenda kuongea uwongo!
  2. niester

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtawala akiwa dictator uchwara wananchi wanamuombea mabaya!
  3. niester

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Single life ni nzuri endapo unaamuwa kuikubali!
  4. niester

    Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni

    Wazungu wanjanja sna wametuacha tuchukue midenge yetu then watuondoe kwenye mfumo wao. And bad enough mkurugenzi anadai tunadaiwa madeni makubwa ila hakumbuki ni kiasi gani Maswali ya uchochezi yanakuja je mkurugenzi alikuwa wapi kutojua haya mapema hadi leo? Kwanini umekua sasa baada ya ndege...
  5. niester

    C Programming: Programming language of the year 2017

    I love c programming language kwa kweli. Though ninaweza ku-program kwa Pyhton na C++ but I like C language coz ni language nzuri kwa kuanzia. C++ ni very complex kama hutafuatilia syntax zake.
  6. niester

    Ujinga wa Mwafrika kupenda kujiita majina ya nje ya bara lao la Africa

    Wanaita hayo majina wakidhani watoto wao watakuwa kama hao wenye hayo majina. Mfano, mtu anamwita mwanae Jaden utadhani atakuwa kama Jaden Smith hahaha. Wanangu wote nimewapa majina ya kiasili regardless of their meanings. Mmoja anaitwa Nyabasi Nyamuhanga Chacha, mwingine anaitwa Rehema...
  7. niester

    Sakata la Airtel na TTCL: TTCL wasema wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa kampuni ya Airtel ni mali yao 100%

    Yani mimi nashindwa kuelewa hawa viongozi wetu uwa wanafanya nini wakiwa kwenye nafasi zao za kazi. Hivi inakuaje miaka yote hiyo zaidi ta 15 leo hii amekuja Rais mwingine ndyo wanajua kuwa Airtel/Zain ni mali ya serikali? Ina maana muda wote huo mkurugenzi mtendaji wa TTCL alikua hajui nini...
  8. niester

    Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Kaka umeongea neno kabisa, nikakubaliana na wewe hawa Ma-TO wanaspend more time than ana average student coz wanajua kabisa wanataka nini.
  9. niester

    Air Tanzania: Ndege iliyonunuliwa imeharibika, mainjinia zaidi ya 50 waneshindwa kutengeneza

    Hapo kuna ma Engineers au ni technicians.? How come eti wanaojiita ma Engineers 50 wameshindwa kuchunguza na kugundua tatizo la ndege tena kwenye field waliosomea? How come nauliza tena? How 50 Engineers.? Au hasa ni ma technicians kutoka VETA? I don't believe this
  10. niester

    Humphrey PolePole anazungumzia Tanzania kama nchi ya Ujamaa. Hivi huyu mtu anajua maana ya Ujamaa?

    Cheo cha kusema sema mambo usioyajua? Si bora niwe na cheo cha mpiga debe kuliko kuwa muenezi wa fisiemu.
  11. niester

    Humphrey PolePole anazungumzia Tanzania kama nchi ya Ujamaa. Hivi huyu mtu anajua maana ya Ujamaa?

    Humphrey PolePole anazungumzia Tanzania kama nchi ya Ujamaa. Hivi huyu mtu anajua maana halisi ya Ujamaa? Nchi ya Ujamaa, ambayo viongozi wake wameshindwa kumuenzi baba wa taifa Mwl. Nyerere?. CCM na viongozi wake wameshindwa kuwa na dira ya maendeleo, CCM ambayo viongozi wake wameshindwa kujibu...
  12. niester

    Kutoka Ikulu: Kamanda Simon Sirro aapishwa kuwa IGP, amrithi Ernest Mangu

    Hata yeye hana dini wala kabila, Umefurahi sasa.?
  13. niester

    Nimekosa mwanaume 'serious'

    Vipi kuhusu ubikra bado unayo au nayo imepotea? Maana wanaojiheshimu sana I do believe bado wanayo.
  14. niester

    Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

    Nani aliyekwambia kuwa UKIMWI umetoka kwa Mungu? Hujui hata historia ya UKIMWI. Bora ungenyanaza tuu kama vitu hujui. UKIMWI ni artificial made and Earthquake is a natural phenomena. You have to use your brain when it comes to thinking.
  15. niester

    Softwares za Programming

    Gat you and I will send you
Back
Top Bottom