niester
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 254
- 111
Humphrey PolePole anazungumzia Tanzania kama nchi ya Ujamaa. Hivi huyu mtu anajua maana halisi ya Ujamaa? Nchi ya Ujamaa, ambayo viongozi wake wameshindwa kumuenzi baba wa taifa Mwl. Nyerere?. CCM na viongozi wake wameshindwa kuwa na dira ya maendeleo, CCM ambayo viongozi wake wameshindwa kujibu hoja za wananchi, akiwemo yeye mwenyewe. Juzi tuu anaulizwa swali na mwandishi wa habari , badala ya kujibu swali, yeye tena anamuuliza swali mwandishi. Uku ni kukosa dira.
CCM na viongozi wake inayokimbilia nje ya nchi kusaini mikataba mibovu chini ya Nazir Karamagi. CCM inayojitambua leo toka ishike madaraka baada ya miaka 50 iliyopita? CCM inayopitisha sheria mbovu za madini alafu leo wanasema wanaibiwa? CCM inayouza wanyama wetu wa asili uko Qatar mfano Twiga.? CCM iliyouza mashamba ya kapunga uko mbeya.? CCM iliyouza maeneo ya asili uko Chole Mafia? CCM inayojua majangili wa pembe za ndovu na lakini haitaki kuwashughulikia? CCM na viongozi wake wanaodharau hoja za upinzani bungeni? Wakiona tuu upinzani unachangia bajeti kazi yao ni kuchezea smartphone zao.? CCM na viongozi wake wanaopiga makofi kwa kila kitu kinachozungumzwa na wao.
Ndyo maana Kuna mtu mmoja asiyejulikana uko katika mtandao kaandika hivi " Kilaza Humphrey PolePole kasema kuwa Rais Magufuli alitaka kuhongwa Billioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga wa madini ". Mimi nilikuwa sijui kama siku hizi Humphrey PolePole anaitwa Kilaza. Sasa naanza kuamini ukilaza wa huyu mtu.