Recent content by Nicolaus mtogesewa

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napingana na Dunia nzima, Kenya inaangamia!

    Huwezi kulazimisha uongo ukawa ukweli ndugu hata ukiongea maneno mengi lakini jua kuwa tayari sheria imeshachukua mkondo wake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mnaotafuta mume mbona mnaweka umri mkubwa, mnapata kweli?

    Yaaani hata kama ni mtumba ni grade 4 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mnaotafuta mume mbona mnaweka umri mkubwa, mnapata kweli?

    We jamaa umenichekesha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Macho ya Wanaume

    Bora tungeumbwa vipofu maana Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

    Ha ha ha ha ha ha we jamaa unawivu sana hayo ndio matokeo ya kuiga tamaduni za watu nakuziona tamaduni zetu hazifai
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

    Na unawezaje kumchukia mtu ambae humjui hujawahi kumuona labda unayachukia maandishi yake Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo hupaswi kuyafanya wakati wa kulala..

    Penyewe wanasema unga wa dona una madhala mafuta ya alizeti ambayo yalikuwa yanapewa kipau mbele kuwa ni mafuta bora kwa sasa yamekuwa tena hayafai sasa ni kipi kilicho bora kwa sasa?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wengi wakibongo ni Dhaifu kwenye Jiografia

    Kiuhalisia wanafunzi wengi wamekuwa wakikesha kusoma namna ya kujibu mitihani tu sio kulielewa somo husika kiundani huo ndio ukweli
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Kama hataki kuja kukaa kwako ujue kua hilo jitu nibora zaidi kuliko wewe jiulize kwa nini ang'ang'anie kupanga wakati nyumba yako unadai kuwa ipo tayari? Huenda hata hapo anapoishi kodi halipi yeye
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Wewe wa ngurue umetisha
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nilitambulishwa mtoto mmoja, wa pili nimemjua mwenyewe

    Cha msingi kaa nae akupe ukweli
  12. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Mungu awape wepesi ktk kipindi hiki kigum
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Imeletwa barua ya posa huku walishatiana mimba, nichukue hatua gani?

    Yaani wewe umeheshimiwa sana na huyo kijana kwakuleta hiyo posa kwani kwa sasa posa zimekuwa adim sana njia inayotumika sasa nikumimbana halafu utasikia ngoja tukajaribu maisha hapo imeshatoka
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mimi napenda wanene kiasi, wembamba hawaniamshi kabisa

    Hoja yako bhana mmmmmh! Ngoja nipite tuuuuu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia wa familia moja wapeana mimba(mashemeji)

    Ukubwa hauji kwa kengele haijalishi ni kula kulala wameshakuwa wakubwa hao tangazeni ndoa tu ushauri wa bureeeee
Back
Top Bottom