Mi nawashangaa mnakomb na mia mbili,mbona wabunge walivyojiongezea posho kuwa 200,000 hamkung'aka?200 na 200,000 ipi kubwa?wabunge nao wa dar wanachachamaa eti kwa 200 wakati watu wanakufa na mafuriko,mtu wa mbezi kimara hadi afike posta anatumia tsh ngapi?acheni ujinga,kweli kama huna 200...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.