Hii kitu ndio iliyoharibu akili na uadilifu wa Magufuli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kitu ndio iliyoharibu akili na uadilifu wa Magufuli.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Jan 2, 2012.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kivipi?!!
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  KIVP Hujui ama?? kauli yake umeisikia kuhusu wakazi wa kigamboni?? ngoja niku megee hii status niliyo icopy kwa sudi mnete FB

  "

  [h=6]Sisi wakazi wa Kigamboni, tuliwahi kupoteza ndugu na marafiki kwa mitumbwi, tumeahidiwa daraja tangu miaka ya 70, hali ngumu mpaka wingine waafikiria kulitangaza eneo hilo kuwa taifa lingine kabisa sasa leo inakuwa "Na atakayeshindwa kulipa nauli mpya Dar- Kigamboni na apige mbizi au azunguke Kongowe"

  Shenz Type
  [/h]
  hiyo shenzi hapo nimeongezea kutia nakshi!!
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  magufuli huyu huyu????!!!! Kichwa kimekuwa kikubwa eeh!!

  Pambaf na nusu.
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Itakuwa ni komoni hiyo !
   
 6. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Loliondo..namuona Novatus Makunga na kikamera chake
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Duu asante kwa kunijuza. Inawezekana hicho kikombe kilikuwa na traces za kimpumu.
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  No alikuwa mgonjwa ila sasa atakuwa amepona unajua mgonjwa siku zote huwa mnyenyekevu ila aki pona ndo utaijua tabia yake halisi.
   
 9. r

  rajah New Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dooh jembe hilooo!
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  bhuyo mzee cku hizi anafikiria buttocks badala ya ubongo
   
 11. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  tatizo kile kikombe cha babu kinawaharibu taratibu ubongo wao
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  alitibiwa lakini ugonjwa wake umerudi. wamrudishe kwa babu apate kikombe. mia
   
 13. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  namuona paparazi Nova amejipinda kweli kweli kuweza kuipata taswira ya MAGU FULL akigonga kikombe:photo:
   
 14. ATUGLORY

  ATUGLORY Senior Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  acha hasira za kipuuzi, kama huna mia mbili toka jijini, ukasaidie kuendeleza kilimo kwanza.
   
 15. N

  Nico jonas Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nawashangaa mnakomb na mia mbili,mbona wabunge walivyojiongezea posho kuwa 200,000 hamkung'aka?200 na 200,000 ipi kubwa?wabunge nao wa dar wanachachamaa eti kwa 200 wakati watu wanakufa na mafuriko,mtu wa mbezi kimara hadi afike posta anatumia tsh ngapi?acheni ujinga,kweli kama huna 200
  nenda shamba kalime,vocha mnanunua sh ngapi kuwasiliana mambo ya kijinga mbona hamlalamiki?
   
 16. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  huyo alisha haribu kichwa haangalii athari ya kitu bali idadi ya vitu kama samaki,barabara anajua zipo ngapi tanzania,mipaka yake hadi nyumba za serikali
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  khaaa hiyo kotio ya suti mbona km oversize?
   
 18. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mtanyweshwa mpaka mikojo yenu et kisa dawa! Okoken.... Ili mpate tiba makin kutoka kwa kristo!
   
 19. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Shauri zenu mliogonga kikombe,mimi nilimsindikiza mtu na nilikataa kunywa
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa kaka .mia
   
Loading...