waasi wa CHADEMA wakila kiapo

waasi wa CHADEMA wakila kiapo

Wachunga ng`ombe ndivyo wakivyo. Ndo maana mzee wa vijisenti anwazubaisha bila wao kujua.
 
Dah! Kwimba na Magu? Wameenda kula Msosi Jijini Mwanza au kula Kiapo? Kwani wangerudishia kadi Magu na wakala kinachoitwa Kiapo hukohuko Kwimba isingewezekana? Pumbafffffff zao!
 
HAKUNA MAREFU YASIYO KUWA NA NCHA.
:shock:Nitaendelea kuamini kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha,kwani ndugu zangu,wabunge wa Mwanza wakitaka
ama wanataka kuendelea kutawala milele,na wanajaribu kufanya wema machoni pa watu waweze tambuliwa na jamii kuwa wanawajali kwa kuyatumia matatizo ya wananchi wao kwa kuwahonga na kuwanuulia vitu vidogo kali wakijua kuyatenda hayo ni
makosa.Lakini kwa kuwa wao wanataka kutawala milele,na wameahidiwa na wakuu wao kupata nafasi nzuri na za juu serikalini
ikiwemo Uwaziri,Ukatibu,hata Ubalozi kwani zaonekana ndizo post za walioshindwa ama kutokuwa na uwezo kiuongozi.
Kumbuka siku moja utakuja ya jibu haya myatendayo mbele ya Mungu wetu,chunga mwenendo wako usiwatumie walalahoi
kutimiza haja zako.Tujenga Tanzania ya kweli.:A S 465::shock:
 
Wapenda pesa hao wamefata hela huko,ni maadui wakubwa wa Watanzania
 

Viongozi wapatao 30 wa Chadema ngazi ya wilaya katika wilaya ya Magu na Kwimba mkoani Mwanza, wakila kiapo cha utii, baada ya kurudisha kadi zao na kuhamia CCM wakati wa mkutano maalumu wa kuwapokea uliofanyika kwenye jengo la Nyanza jijini Mwanza. Mia
Baada ya kula kiapo watakwenda kupata ubwabwa,kofia na fulana.
 
Ni Kwawaida sana uchaguzi ukiisha tu makapi ya kisiasa huanza kujitenga kufuata upepo. Strong members wanabaki katika kambi zao wakisimamia hoja za msingi. Na hii ni ishara muhimu ya kutofautisha makapi ya kisiasa na wanachama/viongozi na wanamageuzi wa kweli.
 
Back
Top Bottom