Recent content by Nickson Lucas Mollel

  1. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz bilionea no. 1 Tanzania

    Hapo umenena mkuu.
  2. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

    Ndio maana akasema vyote alivyofanya, angepitiliza kama sio akina mwakyembe na slaa kumbambikia tuhuma ambazo sio za kweli, then mtu makini anaachia ngazi ili uchunguzi ufanyike, nani mwingine toka enzi ya hayati sokoine kafanya hivyo..!? Edo ndio mwenyewe 2015 kura yangu atapata..!!
  3. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Uandishi huu wa habari ni kumdhalilisha marehemu, gazeti la Sani mmekosea sana

    Soma vizuri kama nimebisha..!? au unasinzia nini?
  4. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Uandishi huu wa habari ni kumdhalilisha marehemu, gazeti la Sani mmekosea sana

    Mbona unatokwa na povu namna hiyo? na wewe ndio zako kwenye magari nini, unatetea nini sasa..!! we yule binti unamjua? hata kama anaishi kenya hawezi kuja kumfuata baby wake bongo wakati kuna usafiri wa aina mbalimbali, acha kutetea upuuzi wewe..!!
  5. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laikumba Arusha

    We ulikuwa juu ya miti unajifanya uko ghorofani, au hilo tetemeko lilitokea ulipo au..!?
  6. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Kijana Sande aliyekuwa na kilo 250, amefariki dunia!

    We unataka no za simu ya nini..!? au unataka ukale pilau! mi nashangaa ina maana wakati wazazi wake wanaangaika na vyombo vya habari vikatoa taarifa zake ina maana waziri wa afya hakulisikia hili..!? na ungekuta ni mtoto wa kigogo angeshakwenda na taarifa zake tusingezisikia, mbona marehemu pepe...
  7. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwimbaji wa Kwaya ya Lulu KKKT Mtoni George Njabili amefariki Dunia

    Sikumfahamu kivile zaidi ya around the corner na kwaya ya lulu, sauti iliyotulia na inayovutia kuisikiliza, pole mke na watoto wa mwimbaji nguli, mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen.
  8. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Kidato cha kwanza abakwa darasani

    Kwakweli ni tukio baya na ambalo lazima wahusika wakamatwe na waadhibiwe vikali, mama mzazi wa binti amelalamika waalimu wa hiyo shule hawakumpa ushirikiano wowote nao pia wawajibishwe, tunaomba katika hili rushwa ya aina yoyote isipewe nafasi cause itamnyima huyo binti haki yake, uchunguzi wa...
  9. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Wazazi Miss Tanzania wadai chao

    Hivi lundenga anataka siti aachie taji peke yake ila zawadi abaki nayo..!? hamna kitu kama hicho ukiachia unaachia kila kitu, na sio amerithi taji kama anavyosema huyo ndie alistahili kuwa miss tz siku ile mlimani city, na sio zawadi za miss tz peke yake na huko mwanzo alipotoka azirudishe...!!!
  10. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Pinda hafai tena kugombea urais !

    Mimi sijawahi kuona anafaa hata huo uwaziri mkuu, sembuse urais..!!
  11. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Lori linateketea kwa moto muda huu

    Ndio kamchezo kako nn..!?
  12. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Lundenga: Sina mahusiano na Sitti Mtemvu

    Wazee ndio maana wanawapa umiss tz kwa upendeleo wanajua wanapata nini..!
  13. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Sakata la Miss Tanzania aliyejiuzulu mapya yazidi kuibuka, aliyemrithi kupokewa kishujaaa Arusha

    Arudishe zawadi, sio taji peke yake, lundenga yako wapi mautetezi yako juu ya sitti..!?
  14. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mmiliki wa Lina's Night Club Bukoba afariki dunia

    Kwenye kiti cha abiria..!!
  15. Nickson Lucas Mollel

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa wateketeza maduka maarufu ya vinyago Arusha

    Bonge la pigo kwa wafanyabiashara kwa kupoteza mali zao inauma sana dah, lkn mkuu chanzo nini..!?
Back
Top Bottom