Ngoniboysinai
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 590
- 482
Mi nimeona anatia huruma tu hapaswi hata kuwa mbunge huyu jamaa! !!
Huyu anafaa awe waziri wa nyuki tu ndo kazi ataiweza urais subutuuuuuu!!!
Mi nimeona anatia huruma tu hapaswi hata kuwa mbunge huyu jamaa! !!
Kwa kauli aliyotoa Pinda jana bungeni, inatosha kabisa pasi na shaka kukosa vigezo vya kugombea nafasi ya juu kabisa ya kuongoza nchi hii.
Nasema hivyo kwa sababu ameonekana wazi wazi kutoka kuzima jambo hili kwa maslahi binafsi ama yeye mwenyewe au kulinda kundi la watu waalifu na wezi.
Kwa nchi yenye watu makini swali ni moja tu, kama kwa nafasi yake kwa waziri mkuu na matarajio yake ya urais ameweza kudiriki kufanya vile je akipewa nafasi hiyo kubwa ataficha maovu mangapi na wakati huo atakuwa na rungu la kufanya hivyo?
Pinda umeshindwa kabisa kusoma alama za nyakati kweli? Natamani ungejua sisi wananchi tunakuonaje huku kitaa.
Hakika umekosa sifa, umekosa upako, umekosa weledi na zaidi umekosa wofu ya Mungu!
Pinda umejitoa mwenyewe katika kinyang'angiro cha urais.
Pinda sasa hata ubunge si halali yako kwani ukifika bungeni unaweza kukosa nafasi ya uwaziri na si hekima kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu!
Pinda jana ilikuwa tarehe 20/11/2014 hutasahau tarehe hii!
Mtoa mada maelezo yoote hayo hujaweka hata sentence moja ya alichosema. Au naamini watu wote walimsikia?
Kwa kauli aliyotoa Pinda jana bungeni, inatosha kabisa pasi na shaka kukosa vigezo vya kugombea nafasi ya juu kabisa ya kuongoza nchi hii.
Nasema hivyo kwa sababu ameonekana wazi wazi kutoka kuzima jambo hili kwa maslahi binafsi ama yeye mwenyewe au kulinda kundi la watu waalifu na wezi.
Kwa nchi yenye watu makini swali ni moja tu, kama kwa nafasi yake kwa waziri mkuu na matarajio yake ya urais ameweza kudiriki kufanya vile je akipewa nafasi hiyo kubwa ataficha maovu mangapi na wakati huo atakuwa na rungu la kufanya hivyo?
Pinda umeshindwa kabisa kusoma alama za nyakati kweli? Natamani ungejua sisi wananchi tunakuonaje huku kitaa.
Hakika umekosa sifa, umekosa upako, umekosa weledi na zaidi umekosa wofu ya Mungu!
Pinda umejitoa mwenyewe katika kinyang'angiro cha urais.
Pinda sasa hata ubunge si halali yako kwani ukifika bungeni unaweza kukosa nafasi ya uwaziri na si hekima kwa mtu aliyekuwa waziri mkuu!
Pinda jana ilikuwa tarehe 20/11/2014 hutasahau tarehe hii!
Anafaa sana kugombea kwa tiketi ya CCM.
Pinda hajui asemalo, alipo kwenda kwa wafadhiri alionekana kuchukizwa na hali ya wizi wa escrow, lakini jana ameongea pumba na aibu tupu...na hali itakuwa mbaya zaidi mara itakapo dhibitika ni muusika...tatizo la pinda hajitambui... na ninawasiwasi mkubwa kama anajua yeye ni waziri mkuu!
Exactly! Nani aliwaambia CCM inawataka watu wenye haiba safi, uadilifu na uwezo mkubwa?
Kahama MP James Lembeli (CCM) said the country was at a crossroads and that it was only the august House that could return it to normalcy before it degenerates into a chaotic state.
Presently, only Parliament and the Military enjoy peoples confidence. By seeking to frustrate us, we risk losing face and jeopardising the security of this country. How can someone take public money then when asked to give clarifications just tell you that Sh1 billion was legal consultancy fee while our people are suffering in hospitals without medicines? he said.
@jk Pinda wote ni shidaaaaah!
Duh yumo?
Atajuta kutatangaza.
Hivi baba Rio karudi? Anayajua haya?