Lori linateketea kwa moto muda huu

Lori linateketea kwa moto muda huu

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34
IMG-20141120-WA0003.jpg
Lori lilokuwa limebeba shehena ya Mapipa ya Lami ikiteketea kwa Moto muda huu eneo la Mikumi Mkoani Morogoro Barabara kuu ya Morogoro Iringa
IMG-20141120-WA0001.jpg
IMG-20141120-WA0005.jpg


Chanzo:rahatupu
 
Yangekuwa mafuta watu wangepoteza maisha kizembe sana kwa sababu tu ya ulafi wa kutaka mafuta
 
Poleni, Kaeni mbali hiyo mipipa inaweza kupasuka mkarukiwa na lami mkaungua bure
 
Kila kukicha ni Majanga zaidi ya jana
 
Kama ingekuwa ni mafuta ningesema ni kamchezo unajua inakuwaje wakuu...

-Tank zinapigwa full
-Mafuta yanauzwa karibu yote
-Mtu anachukua chake
-Yanaachwa mafuta machache tu
-Kisha gari inapigwa moto
-No ushahidi tajiri gonjwa ya moyo
-Watu wanaanza maisha mapya

Ila kama ni lami sjajua kama ni kamchezo ila bongo inahitaji ubongo kuishi aisee,POLENI SANA.
 
Kamandugu zetu wamesalimika poa gari litapatikana jingine hiyo nijukumu la tajili cc isituumze kichwa.
 
Hapo mkandarasi kachelewa kujenga barabara na pesa kashakura , sasa amepata kisingizio, kwani lami kufika tena anaongeza mwezi.
 
Kuna jam la kufa mtu mabasi ya kutoka mbeya na yakutoka dar yatachelewa kufika leo.
 
Kama ingekuwa ni mafuta ningesema ni kamchezo unajua inakuwaje wakuu...

-Tank zinapigwa full
-Mafuta yanauzwa karibu yote
-Mtu anachukua chake
-Yanaachwa mafuta machache tu
-Kisha gari inapigwa moto
-No ushahidi tajiri gonjwa ya moyo
-Watu wanaanza maisha mapya

Ila kama ni lami sjajua kama ni kamchezo ila bongo inahitaji ubongo kuishi aisee,POLENI SANA.

Ndio kamchezo kako nn..!?
 
mikumi kuna nini ? ni hivi majuzi tu lori la azam lilobeba ngano nalo liliteketea na moto na kusababisha lori zingine mbili mbili kugongana huso kwa uso
 
Back
Top Bottom