Tetemeko la ardhi laikumba Arusha

Tetemeko la ardhi laikumba Arusha

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Posts
6,268
Reaction score
4,585
Majira ya saa 6.58 pamekuwepo na tetemeko la ardhi hapa Arusha.

Mtetemesho haukuwa wa kutisha sana ingawaje tuliokuwa ghorofani tumepata hofu kidogo
 
We ulikuwa juu ya miti unajifanya uko ghorofani, au hilo tetemeko lilitokea ulipo au..!?
 
Majira ya saa 6.58 pamekuwepo na tetemeko la ardhi hapa Arusha.

Mtetemesho haukuwa wa kutisha sana ingawaje tuliokuwa ghorofani tumepata hofu kidogo

Sawa Tumejua Kuwa Umeenda Ofisi Za Watu Leo Huko Magorofani..
 
Back
Top Bottom