Recent content by Nickojr

  1. Nickojr

    Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola

    sisi ndo adui zao wakuu(Afrika nzima) mpige nani sasa ....wana maliza kwanza uku ili baadaye kikinuka waje kukaa uku tafakari chukua hatua????????? we fikiria kila ugonjwa hatari chimbuko ni Afrika ??? alafu watakwambia chanzo ni nyani
  2. Nickojr

    Msaada: Paradigms School of Health and Allied Science

    mimi mwenyewe nakitaka hikohiko ....vitu nikibaya au ndo kwajili hakina Hosp
  3. Nickojr

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Acha izo jembe ....sis ndo machalii wa chuga .... ...... kwanza karibuni chuga machalii acheni kudanganywa na watu chuga is best place in Tz ata mm first time na drop chuga watu walinitisha ivo ivo ila kufika mambo yakawa tofauti tena sana .......ila ukiwa chuga usizoee kila mtu ???????
  4. Nickojr

    Modem za kushika signal za wireless internet kwa computer zisizoshika wireless internet

    kuna program mpya inayo itwa "" mobile patner " ina features zote Wi-fi,phone calling,ussd,message etc jaribu kudonload hii dashboard alafu ui replace iyo dashboard yako ya zamani(eithe airtel,tigo,voda and zantel....
  5. Nickojr

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    dogo auko vibaya sana ila kama familia inauwezo mpelekeni A'level kwasababu ana C tatu ...nikutafuta shule itakayo mpokea tuu
  6. Nickojr

    Kwa wataalam wa AFYA!

    inaweze kana ila kuna kazi kidogo .....(sabab iz zot n relted field) ni wewe 2 na dola yako ........
  7. Nickojr

    Udhaifu wa baadhi ya wanaume wa kibongo upo kitandani

    Dah kweli lakin ....ata mimi nina tabia hiyo ita bidi niache kabisa ila ata kutupa kondom chini .........nita acha huu uchafu ila izo zote mie sina zaidi ya izo mbili ....(kutupa kondom na kujifutia na shuka ila siyo kila siku)
  8. Nickojr

    Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

    wewe Okwi ndo kakukera Simba nzima au we shabiki wa yanga
  9. Nickojr

    Mke amfuma mumewe akijichua

    Ebwana eeh akuna mtu ambaye ajawai kupiga punyeto ...ata kama uikua na demu wakati unabalee ...kuna ile stimu ya usiku hamu imekushika ...unafanya je sasa kwa jamaa simlaumu sana labada alimhisi mkeo anatembea na jamaa mwingine au yeye alitembea na demu mwenye VVU akawa ana muepusha na janga...
  10. Nickojr

    Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    Dah una akili na mawazo ya ukweli .....Jembe ???????
  11. Nickojr

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    em ngoja kidogo ....mfano mtu ana CCC tatu za arts na ana DDD za pcb ... jee private anaweza kwenda PCB na akafanya pepa ???????????????
  12. Nickojr

    NECTA waja na mpya ya madaraja ufaulu sekondari

    good point ....eti "F"34 wakati wao walipita kwa "F" 21 kushuka chini alafu "D" 50 hii eleimu au ukomandoo
  13. Nickojr

    Unajua hesabu wewe? Taja idadi hapa

    3 tuu ndo nimeona
  14. Nickojr

    Hivi Jay Z ana nuksi, laana au badlucky?

    Embu ngoja muhusika Jay Z au wewe usiwe unampa Jayz uhusika akati mwenye shida ni wewe kama ni wewe sema ntakusaidia,ila kama Jay z mwambie atafute pesa (aende mererani akachimbe madini) akipata mihela watakuja wenyewe alafu abadili mazingira ikiwezekana ahame mkoa kabisaapia kama ni mpiga...
Back
Top Bottom