Hamnakituuu hapooo bora uendee vyuoo vya private vingine tofautii na hicho tajwaa hapojuu
Nendaa vyuoo vyenyee hospitali babaa kama muhas mmtc mtwara lindi kcmc bugandoo kibaha kilosa mafinga iringa etc mbonaa unaendaa vyuoo vya ajabuu dogoo fanya uamuzii sahihii kwanzaa kwaninii uliamuaa kuwaza chuo kama hichoo au uponacho karibuu na nyumbanii
Anhaaa daa kwa hapo ninavyovijuaa kuna KAM college cha kule kimara private adaa sjuii utaiweza CITY college kipo mbagala sjuii IMTU hubert kahiruki kampala sema adasasaa kamaunaweza kuafford frshh vyotee hivyoo private
Hakuna chuo hapo tafuta kingine kuna mshkaj wangu alikua anasoma hapo akaachaHabari wanajamvi, nna mpango wa kwenda kupiga clinical medicine kwenye chuotajwa hapo juu, hivyo kwa mwenye kukifahamu hiko chuo in aspects of quality training, nacte registration e.tc. anijuze, natanguliza shukran.
Nipigie nikuweke wazi, im the product of that college 0686922293Habari wanajamvi, nna mpango wa kwenda kupiga clinical medicine kwenye chuotajwa hapo juu, hivyo kwa mwenye kukifahamu hiko chuo in aspects of quality training, nacte registration e.tc. anijuze, natanguliza shukran.
acha woga..Mtaka mawili moja humponyoka kozi za afya si mchezo muda wa kwenda kufundisha huko pembeni hutaupata ndg otherwise utadisco tu ni hekaheka mambo ni mengi na huwezi kutega kipindi
MACHAME wapo vizuri kwa kwel.... kuna dogo langu mmoja yupo machame na alitokea chuo uchwara(DECA)Hakuna chuo hapo tafuta kingine kuna mshkaj wangu alikua anasoma hapo akaacha
NB: vyuo vya private vilivyopo dar es salaam si vizuri nenda mvumi, machame au st. Aggrey mbeya