zephania musse
Member
- Apr 6, 2013
- 74
- 14
Eti NECTA wametoa mgawanyo wa alama na gredi zake mbalimbali ili wananchi tuchague itakayofaa,ndiyo itumike.Ikoje hii?
Eti NECTA wametoa mgawanyo wa alama na gredi zake mbalimbali ili wananchi tuchague itakayofaa,ndiyo itumike.Ikoje hii?
Kuanzia mwaka jana 2012 Necta walitumia fixed Grade Ranges kwa kidato cha nne na sita ambapo kwa kidato cha 4
A-80/100
B-65/79
C-50/64
D-35/49
F-0/34
KIDATO CHA 6
A-80/100
B-75/79
C-65/74
D-55/64
E-45/54
S-40/44
F-0/39
Baada ya kutumia huo mfumo kimya kimya bila kushirikisha wadau wanafunzi wakafeli sasa hv ndo wameona umuhimu wa kushirikisha wadau wote ili kupata utaratibu unaofaa!
Eti NECTA wametoa mgawanyo wa alama na gredi zake mbalimbali ili wananchi tuchague itakayofaa,ndiyo itumike.Ikoje hii?
Sio NECTA, ni wizara ya elimu ndio wametoa dodoso la upangaji wa madaraja ya ufaulu kwa watahiniwa wa sekondari (O & A levels). Dodoso ipo katika website ya wizara, moe.go.tz