Recent content by nickname

  1. nickname

    Ujenzi wa nyumba: Budget ya milioni 25

    Hautaweza kujenga ukuta
  2. nickname

    Msaada lodge nzuri Morogoro

    City Dream Lodge, ipo vibandani karibu na Dolphins
  3. nickname

    Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

    Mshahara umebadilika lakini kumbuka bei ya mafuta ya petroli na diesel imeongezeka...maana yake ni kuwa bidhaa zinaenda kupanda bei
  4. nickname

    Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Huo ndio ukweli. Hakuna nchi ambayo ipo sawa, hata China, Japan na Marekani bado haziko sawa
  5. nickname

    Magufuli alikuwa muongo sana

    Moderators wa Jamiiforums ondoeni uzi huu...hauna faida kwa nchi hii
  6. nickname

    Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

    JK hajawahi kuwa DC
  7. nickname

    Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

    Sio net , 3.5m ni basic salary
  8. nickname

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    https://www.jamiiforums.com/threads/rc-rose-mkoa-wa-chato-utakuwa-na-wilaya-5-kakonko-biharamulo-ngara-bukombe-na-chato-yenyewe.1875231/
  9. nickname

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Kikao cha RCC kimeridhia Chato iwe mkoa na utakuwa na wilaya 5.
  10. nickname

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Wewe u muongo umeandika maoni binafsi ya watu. Walikuwa wanatoa maoni hayo kwa kuwa watu wa Geita waliona kuwa Wilaya ya Busanda yenye madini ingeenda mkoa mpya wa Chato. Makubaliano ya mwisho ni kuwa Wilaya ya Busanda inabaki mkoa wa Geita na kisiwa cha Rubondo kinabaki Chato Mkoa wa Geita...
  11. nickname

    Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

    Acha uongo, hujafika Chato. Huduma za ndege zipo kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi
  12. nickname

    Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

    Uwanja unatumika na ndege za ATCL zinatua kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi kushusha na kupakia abiria wanaotoka Dsm na wanaoelekea Dsm kupitia Mwanza
Back
Top Bottom