Watendaji wa wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wameamriwa na mkuu wa Wilaya hiyo kufanya kazi za kuuza mbengu za pamba za kampuni binafsi bila malipo wala posho yoyote kwao.
Amri hyo imetolewa na mkuu wa Wilaya bila kujali kuwa watendaji hao wameajiliwa na serikali!.
Je, kwa sheria za utumishi wa...
Mimi ni mfanyakazi wa h/wilaya Kwimba, nimepata machungu sana baada ya kuona nyumba inayojengwa Lyoma Sekondari kwa gharama ya milion hamsini pesa za walpa kodi ikiwa hairidhishi.
Nyumba yenyewe tulipoenda kuikagua na maafisa wengine wa wilayatukakuta ina vyumba 2 na sebule badala 2 in 1 kama...
Mh. John Mnyika na kikosi chake watakuwa katka viunga vya mji wa wasukuma Ngudu.
iKada wa CHADEMA aitwaye Kazimi (painter) anatembea na gari la matangazo kuwajulisha wana-nchi wote kinachoendelea.
Update mtazipata kuanzia sasa.update 2 naona makamanda wa red briged wako tayari,watu...
thus why we learn psychology b'coz of that uniquiness'so don't create a defencive mechanism while the reality is very exposed'just accept the challenge and work upon.
katka hali isiyo ya kawaida mbunge wa vti maalum jimbo la kwimba amekuwa rafiki wa pete na kdole na wana-ccm hatakufika hatua ya kutowajali wananchi hata kwa salam tu,haya yamejizihilisha leo katka stand ya ngudu mjini ambapo mweshimiwa ali-pack r4 yake na kuanza ku-chat na kna-malando(diwan...
Kama kuna huduma mbovu Tanzania za kibenki basi tawi la Ngudu NMB linaongoza.
Tawi hilo uchukua ATM card zilizokwisha muda wake inachukua masaa 4. Kwa jografia ya mji huu mtu akitoka Mpamwa au kikubiji analazimika kukaa siku nzima hivyo kuathiri uzalishaji kwa sekta nyingne.
Meneja hajui...
nmekusoma kaka' lakin habar hii n ya kwel'cjui ku2pia waraka nnao ngeuweka hapa'ila tuache ma2c wakat 2nachangia hayana mana kama unahacra rest a menute b4 attacking sb'
nna dawa ya nguv za kiume'mkeo hatok tena'mit shamba za uhakka kama vp npm'wadau unauwezo wa kupiga @cku gor zaid ya 3'msukuma orginal'pia nnadawa ya ksukar malpo mpaka uone mafankio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.