Recent content by Ng'wizukulumbasa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nape: Chombo cha Habari kitakachoripoti habari ya kichochezi kitahesabiwa kuhusika na uchochezi

    Hii ni kali ya mwaka.Tunakoelekea ni giza nene.Sioni mwanga
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangazwa na Mstahiki Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutohudhuria Biafra

    Na kwanini yeye Mayor asiwepo pale? Aliogopa nini kuwa pale?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangazwa na Mstahiki Meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutohudhuria Biafra

    Hata mimi nimeshuhudia na kushangaa kwa nini meya asiwepo mahala pale huku akijua kuwa usalama wa nchi hauna chama
  4. N

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    WanaJF suala la ukosefu wa mtaji ni sensitive sana. Nashauri mtu kama una tatizo la mtaji basi uanze hata kwa kufuga kuku wa kienyeji wachache ambao watakuwa wanaongezeka polepole na kukuwezesha kupata mtaji.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kujitoa EU

    Nimependa sana jinsi viongozi kama Cameroun wanavyoweza kuwajibika kwa jamii baada ya mambo kuwaendea kombo tofauti na mategemeo yao. Je,sisi watanzania tunajifunza nini kutokana na tukio hili?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Lowasa Hana point. Ataongea nini
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    UKAWA hawana lolote la maana.Wana honga watu ili waonekane wanapendwa.Hata Fisadi Lowasa ananunua vijana ili wamshangilie na aonekane anapendwa na wengi.WATANZANIA tuweni makini,tusikubali kuuza nchi yetu kwa vibaka hawa. Mtu safi ni Magufuli,mchapa kazi na mwadilifu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    CHADEMA wamecheza rough.Iweje mtu ambaye wao wenyewe walimpigia kelele hadi kajiuzulu leo anaonekana mwema na kupokelewa bila masharti? Inaonekana CDM hawana benki ya wanasiasa mahiri ndiyo maana alipoingia tu Lowassa wakaona ni bora kuliko wao na kumpisha ili agombee urais.Angalieni mtaingizwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ajali Nzega: Magari manne yagongana, Watano wafa papo hapo

    Poleni sana wahanga wa ajali hii. Lakini,kwanini polisi waruhusu magari kusafiri wakati wa usiku? Au kuna nini kilitokea maana polisi wengine wanapenda rushwa mno kiasi kwamba wanajifanya hawajui sheria za usalama bararani . Ni vema uchunguzi wa kina ufanyike na atakayebainika kuhusika katika...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nchi za afrika na kombe la dunia

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mimi mwenyewe bila kupata majibu. Swali la kwanza. Hivi ni kwanini nchi zetu za Afrika hazijafanya vizuri katika michezo ya kuwania kombe la dunia? Swali la pili.Kwanini asilimia kubwa ya makocha wa timu zetu za Afrika ni wageni? Maswali haya...
Back
Top Bottom