Ng'wizukulumbasa
Member
- Nov 26, 2013
- 22
- 2
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali mimi mwenyewe bila kupata majibu.
Swali la kwanza. Hivi ni kwanini nchi zetu za Afrika hazijafanya vizuri katika michezo ya kuwania kombe la dunia?
Swali la pili.Kwanini asilimia kubwa ya makocha wa timu zetu za Afrika ni wageni?
Maswali haya yametokana na ukweli kuwa nchi zetu ziko dhaifu sana ki-michezo. Hili halina ubishi.Hakuna hata nchi moja ya ki-Afrika iliyowahi kuchukua kombe la dunia tangu Dunia hii iumbwe na Mwenyezi Mungu.
Naomba mawazo yenu wana JF