Recent content by ngwenda ngulya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu kutimiza miaka 26 ya ndoa

    Happy 26th Anniversary to me and my lovely wife Theodora. I pronounce goodness and mercies shall follow us all the days of our lives and the Lord shall be our provider, we shall not want. We are blessed beyond measure.Once again, happy 26th Anniversary to us.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Proector inauzwa

    Kwa yeyote mwenye kuhitai proector tuwasiliane.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kurudisha laki saba zangu zilizopelekwa Forever Living

    1.Nakushauri kama ifuatavyo:- Kama mke wako yuko tayari kujitoa kwenye hiyo biashara basi anaruhusiwa kurudisha hizo bidhaa na kufutwa uanachama na kupewa fedha zake. Hii imo kwenye company policy iwapo tu tangu ajiunge hajafikisha miezi 12. 2. Hakikisha receipt aliyonunulia anayo na pia bidhaa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mkopo

    Anataka cash. Gari ni Toyota corola.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mkopo

    Habari. Ninaomba mtu anayeweza kuniconnect namna ya kupata Tshs.6,000,000 mkopo.Kifupi jamaa yangu ana shida na hiyo pesa na ameniomba aniuzie hiyo gari. Mimi nimelipenda hilo gari na natafuta namna ya kulinunua na kulipa kwa mapatano. Ningefurahi kupata ushauri. Uwezo wangu wa kulipa kwa mwezi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Website ili kujua watoto waliochaguliwa kujiunga na sekondari

    Naomba mwenye kujua website itakayoniwezesha kuona orodha ya waliochaguliwa kujiunga na sekondari mwaka huu 2013 anisaidie.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Aliekuwa kamishna wa Polisi Zanzibar 'achanganyikiwa'

    Sijaelewa lengo la hii
  8. N

    JamiiForums Tanzania Anasumbuliwa na miguu, nishaurini

    Naomba tuwasiliane 0788 493836
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa anayemfahamu daktari bingwa

    Mimi nakushauri nenda msasani - CCCBRT hospital. Hapo utasaidiwa vizuri zaidi.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kutembelea kituo cha watoto yatima

    Ndugu Mungu akubariki sana. Naona umekwisha fanya uamuzi wa kwenda kurasini, vinginevyo kama inawezekana Chamazi wako hoi na hasa chakula. Nimefanya utafiti binafsi na kugundua hilo. Haya ni maoni yangu yakikupendaza sawa. Jumla ya yote umenifanya nami nianze kuwaza juu ya watoto yatima kutokana...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hali tete inayoendelea kati ya wafanyakazi wa kampuni ya fourseason na uongozi

    Shida ni ya kimfumo na kubwa rushwa imekithiri. Mungu saidia Tanzania
  12. N

    JamiiForums Tanzania 4 ever living

    Ni vyema pia kuelewa wengi wanaofanya hii biashara hawajui jinsi ya kufanya kwani biashara HUTAKIWI KUUZA bali walio wengi wanauza. Hilo ni kosa. Forever si biashara ya kuuza. Ningekushauri jifunze kwanza inavyofanywa nawe ukipenda karibu.
Back
Top Bottom