Kutembelea kituo cha watoto yatima

Kutembelea kituo cha watoto yatima

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,061
mimi na familia yangu, pamoja na marafiki tungependa kutembelea kituo cha watoto yatima katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, lakini hatujui mahala vituo hivi vinapatikana, tungependa kutoa msaada wa mahitaji mbali mbali lakini si pesa.
kwa mwenye taarifa wapi hivi vituo vinapatikana na ni yapi mahitaji yao ya muhimu?
natanguliza shukrani za zati kwa msaada wenu wa majibu yenye kufanikisha ibada yetu muhimu.

inamaana hakuna wa kutoa msaada wa majibu humu ndani? Moderator nnaomba muuamishe huu uzi jukwaa lingine humu wanawaza mapenz kipindi cha ramadhani

Last edited by a moderator:
Kamanda, hongera sana kwa kupata wazo la kuwatembelea watoto yatima. Kuna kituo cha yatima cha serekali kule Kurasini ambako kuna watoto takribani 60. Kimsingi serekali haikitazami... Msimamizi wa kituo anaitwa Ramadhani na simu zake ni 0772/0712/0782/0752 - 161610
Inampendeza Mwenyezi Mungu kuwajali yatima na wajane. Ni vizuri kujenga utamaduni huu kwa vipindi vyote vya mwaka. Bila kusahau kuna wafanyakazi pale hivyo kama unapeleka msaada ni busara kuwakumbuka nao maana hali zao si vema kivile.
Ubarikiwe sana wewe na uzao wako na marafiki zako mlioguswa na watoto yatima.
NB: Naliwahi pewa namba ya watoto yatima walioko Chamazi. Sijawahi watembelea. Namba yao ni 0754 439459

mimi na familia yangu, pamoja na marafiki tungependa kutembelea kituo cha watoto yatima katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, lakini hatujui mahala vituo hivi vinapatikana, tungependa kutoa msaada wa mahitaji mbali mbali lakini si pesa.
kwa mwenye taarifa wapi hivi vituo vinapatikana na ni yapi mahitaji yao ya muhimu?
natanguliza shukrani za zati kwa msaada wenu wa majibu yenye kufanikisha ibada yetu muhimu.

Usisahau kuwaalika waandishi wa habari, siku utakapoamua kwenda kwenye kituo.

hongera sana jamani kuna kituo kimoja kipo kigogo kituo cha daladala randa bar if you want more details please nipm,ila naomba nikuulize unauhakika kwenye ukoo wako hakuna mtu anayehitaji msaada?maana kidini haiswihi kutoa msaada kwa jirani kabla ya watu wako wa karibu.Ni katika kukumbushana tu

Ndugu nashukuru saana, na ubarikiwe pia

Kamanda, hongera sana kwa kupata wazo la kuwatembelea watoto yatima. Kuna kituo cha yatima cha serekali kule Kurasini ambako kuna watoto takribani 60. Kimsingi serekali haikitazami... Msimamizi wa kituo anaitwa Ramadhani na simu zake ni 0772/0712/0782/0752 - 161610
Inampendeza Mwenyezi Mungu kuwajali yatima na wajane. Ni vizuri kujenga utamaduni huu kwa vipindi vyote vya mwaka. Bila kusahau kuna wafanyakazi pale hivyo kama unapeleka msaada ni busara kuwakumbuka nao maana hali zao si vema kivile.
Ubarikiwe sana wewe na uzao wako na marafiki zako mlioguswa na watoto yatima.
NB: Naliwahi pewa namba ya watoto yatima walioko Chamazi. Sijawahi watembelea. Namba yao ni 0754 439459

si kweli kwamba hairuhusiwi kutoa msaada kwa mtu mwingine kabla ya ndugu zako, kuhusu hicho kituo nikihitaji ntakupm, ila ngoja tufanye mpango kwanza twende hicho cha kurasini.

nikuulize wewe, ndugu yako ni nani?
hongera sana jamani kuna kituo kimoja kipo kigogo kituo cha daladala randa bar if you want more details please nipm,ila naomba nikuulize unauhakika kwenye ukoo wako hakuna mtu anayehitaji msaada?maana kidini haiswihi kutoa msaada kwa jirani kabla ya watu wako wa karibu.Ni katika kukumbushana tu

Kamanda, hongera sana kwa kupata wazo la kuwatembelea watoto yatima. Kuna kituo cha yatima cha serekali kule Kurasini ambako kuna watoto takribani 60. Kimsingi serekali haikitazami... Msimamizi wa kituo anaitwa Ramadhani na simu zake ni 0772/0712/0782/0752 - 161610
Inampendeza Mwenyezi Mungu kuwajali yatima na wajane. Ni vizuri kujenga utamaduni huu kwa vipindi vyote vya mwaka. Bila kusahau kuna wafanyakazi pale hivyo kama unapeleka msaada ni busara kuwakumbuka nao maana hali zao si vema kivile.
Ubarikiwe sana wewe na uzao wako na marafiki zako mlioguswa na watoto yatima.
NB: Naliwahi pewa namba ya watoto yatima walioko Chamazi. Sijawahi watembelea. Namba yao ni 0754 439459
Nilishawahi kwenda hapo, kama unataka kwenda kimya kimya wala hakuna komlikesheni we unaenda tu na mizigo yako pale ofisi basi... Ila kama unataka kwenda na waandishi wa habari hapo wanasema kuna utaratibu wa kupata ruhusa....

By Choka mbaya

Ndugu ni kama ulivyoenda wewe, hatuna haja ya kutafuta mauzo

mimi na familia yangu, pamoja na marafiki tungependa kutembelea kituo cha watoto yatima katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, lakini hatujui mahala vituo hivi vinapatikana, tungependa kutoa msaada wa mahitaji mbali mbali lakini si pesa.
kwa mwenye taarifa wapi hivi vituo vinapatikana na ni yapi mahitaji yao ya muhimu?
natanguliza shukrani za zati kwa msaada wenu wa majibu yenye kufanikisha ibada yetu muhimu.
Naibili hizi rehema za Zakat al-Fitr vema kula wote. Check PM!

Ndugu Mungu akubariki sana. Naona umekwisha fanya uamuzi wa kwenda kurasini, vinginevyo kama inawezekana Chamazi wako hoi na hasa chakula. Nimefanya utafiti binafsi na kugundua hilo. Haya ni maoni yangu yakikupendaza sawa. Jumla ya yote umenifanya nami nianze kuwaza juu ya watoto yatima kutokana na utafiti wangu wa vituo hivi viwili. Barikiwa.

Back
Top Bottom