Recent content by Ngwanza

  1. N

    JamiiForums Tanzania TRA fuateni mkachukue kodi yenu kwa washindi Biko.

    Kwa mtu binafsi (individual) kuna tax table inayoainisha viwango vya kukatwa Income tax.Ila haijafika 18% Kama ni kampuni ni 30% ya kipato ilicho pata kwa mwaka
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hiview international co ltd,wauzaji wa matairi aina ya roadcruza,goodtyre na goldtyre.

    Mkuu...285/80/22.5 zinauzwaje kwa jumla
  3. N

    JamiiForums Tanzania Supplier anahitajika

    Habari wana JF, Tafadhari nahitaji mawasiliano ya watengenezaji wa tube za namna hii. Nahitaji kwa matumizi ya kuwekea shampoo,shower jell n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Maulid wa Kitenge?

    Je wewe shida yako nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda awatangazia wananchi wa mkoa wake miguu ya bure

    Nadhan 3,000,000 kwa pair Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Kwa hiyo unaogopa kufumania kisa utatengana na mkeo?
  7. N

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Fikra kama hizi ndizo zina kwamisha uthubutu wa kuji kwamua.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya remote za king'amuzi cha Azam

    Pole mkuu,Pia Azam watafute tatizo la channel kujihamisha hamisha zenyewe pasipo command ya mtumiaji.unakuta unaangalia Azam two,ghafla kimamuzi kinaamia channel nyingine kabisa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hamu ya kuendesha gari jipya huisha baada ya muda gani? Maana situliii!!

    Hamu itamuisha majukumu yakiongezeka.Hata redio ataona inampigia kelele.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hamu ya kuendesha gari jipya huisha baada ya muda gani? Maana situliii!!

    Kaka tena ulikuwa muoga muoga.Subaru unapanda kitonga hata na 140.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima

    Hadi kununua hiyo mitambo hawezi kushindwa kutimiza haya matakwa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeamua kuachana na masomo ya chuo kikuu!

    Kwa level uliyofika ki elimu kabla ya chuo ni fulsa kubwa. Anza kufikiri kitu mbadala cha kufanya pasipo kupoteza muda. Mfano,Pata fulsa za kusoma kozi ndogo ndogo za uzalishaji mali. Nina imani utapata nini cha kufanya. Pia jifunze hata biashara unayoweza kufanya kwa kuanza na mtaji mdogo hata...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimefungwa akili, natamani kutoka kimaisha

    Binafsi najua ili ufanye biashara inahitajika Nia,Mtaji na Udhibiti Wengi hukwama kwenye nua.tunakuwa na nia ya kufanya biashara nyingi nyingi pasipo kuweka mkazo katika kitu kimoja kwanza.Ukiweka mkazo kwa kitu kimoja ni rahisi kukianza na kujiendeleza.Mitaji wengi ni rahisi kutafuta.Kuhusu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kwa waswahili wengi tuna muonekano wa kichafu chafu hivi?

    Kwa mwendo wa usafi wa kila mwezi,tumeanza kubadilika na kuwa wasafi.
Back
Top Bottom