Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,018
Duuh bora umenipa mwanga aisee.Shida ni kuwa kampuni nyingi za drilling ni za Wahindi au wageni ambao kwa sehemu kubwa wamejikita kwenye mining sector, na hii moja (Maswi) imejikita zaidi kwenye borehole. Lakini kulingana na maelezo ya kampuni hii nilijifunza pia kwamba drilling industry imevamiwa na wageni ambao hasa ndiyo wasumbufu kuliko hata hao Maswi maana kampuni mojawapo ilikuwa INA charge around 300,000/= per m sq
Shukrani umenipa na comparison