Recent content by ng'wandu

  1. N

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ni tawi la Kanisa

    Kwa hiyo mahakama ya kadhi itakuwa tawi la nini?
  2. N

    JamiiForums Tanzania USHINDI: Lowassa, Dr. Slaa, Mbowe, Lipumba wakiungana basi, CCM kwaherini , byebyeeee

    Lowassa + Karamagi + Rostam + Chenge kweli hawa ndio watu wanaopigiwa debe hapa waje ukawa? I can't believe what I'm reading on this thread!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dah! Huyu mtia nia ni muongo!

    Membe alipokuwa Mbeya alisema ikiwa yeye ataenguliwa basi atamuunga mkono Mwandosya. Membe huyo huyo alipokuwa Rukwa akasema ikiwa ataenguliwa basi atamuunga mkono Pinda. Kama si kinyonga ni nani huyo?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Fungua hizi njia

    Yote uliyoeleza ni kweli kabisa. Suala la kusamehe nimelihakikisha kivitendo kabisa na baraka nikaziona. Hata kama mtu alikdhulumu wewe samehe na mwachilie kutoka moyoni mwako halafu tulia uone Mungu atakavyokufungulia milango mingine kabisa ya baraka
  5. N

    JamiiForums Tanzania Daktari: Nguo mpya sharti zifuliwe kabla ya kuvaliwa

    Watu kila siku wananunua nguo mpya na kuzivaa na hawajawahi kupata hizo reactions!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wezi wavamia Kanisa Katoliki na kuiba vifaa vya 'Tabernacle'

    Hapa sio kubishana au kushindana bali kueleweshana. Ni wapi anaposema chombo cha kuwekea ekaristi kikiibiwa ukrito umeubiwa. Kwenye hilo andiko uliloweka hakuna suggestion kama hiyo. Kama ukristo wetu unaweza ukaibiwa kirahisi namna hiyo basi hatuna lolote
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wezi wavamia Kanisa Katoliki na kuiba vifaa vya 'Tabernacle'

    Nionyeshe panaposema ekaristi ikiibiwa ukristu umeibiwa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wezi wavamia Kanisa Katoliki na kuiba vifaa vya 'Tabernacle'

    Mimi ninavyofahamu Kristo unakaa ndani ya mtu anayemwamini Yesu Kristo, na kamwe hauwezi kuibiwa kwa mtu kuiba chombo cha kuhifadhia ekaristi. Halafu inakuwaje kuiba aibe mwingine halafu dhambi iwe juu ya waumini? Wakristo tuamkeni, tusome Neno la Mungu na tulielewe na kisha tuachane na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wa mitaani, mjipime

    Mavazi sio tatizo, tatizo ni kile kilichomo ndani ya mtu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwanangu amegongwa na Pikipiki

    Pole sana Galadudu kwa yaliyokupata, tunaomba Mungu amponye mwanao haraka. As for the bodabodas hilo ni janga, serikali inapaswa iwaze mara mbili juu ya uamuzi wa kuruhusu bodaboda nchini
  11. N

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Nimesikiliza kwa makini clip ya Pengo na ile ya Gwajima na haya ni maoni yangu. Lakni kabla naomba kudeclare kuwa mimi sio mkatoliki na sio mfuasi wa Gwajima na pia binafsi sikubaliani na kuingiza masuala ya kidini kwenye katiba: Askofu Pengo Pengo was very composed, bila papara wala mihemuko...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Hapana, Yesu wangu hajanifundisha kutukana mtu akikosea
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Simu za Startimes Solar 5, naomba msaada

    Kama kuna mtu yeyote ambaye ametumia simu za startimes solar 5 naomba anipatie maelezo kidogo kuhusu ubora wake. Nimeziona zinauzwa vodacom shop Mlimani city kwa 270,000
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Soma King James Version
  15. N

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Ukiisoma vizuri Biblia na kuielewa hivyo hata havihitajiki kabisa. Unakuwa na uhusiano binafsi na Mungu wako bila kuhitaji kupitia kwa mtu mwingine
Back
Top Bottom