si kweli ,
hapa unasema uongo ,
mimi nimekunywa bia na Prof Shaba mara ya mwisho mwaka 2007 pale Jolys Club nyuma na Aghakhan (sijui kama hiyo Club ipo bado) na wakati huo alikua anafanya parttime Muhimbili (MUHAS )
labda nikusaidie kuweka records sawa,
Balozi Ephraim Weid Mwasakafyuka alikua Mkurugenzi wa Maendeleo Mkoa wa Tanga.
Nilikuwepo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga wakati akiwa Mkurugenzi pale.
na aliletwa pale akitokea kuwa Katibu Mkuu Foreign Affairs
unajua zamani ilikua ujiko kusoma UDSM,
so bado unafikiri sawa na watu wa miaka ya 1970 huko,
nimesoma degree ya kwanza UDSM, MSc IFM, PhD namalizia India
P. M Libaba aliishafariki miaka 4 au 5 iliyopita .
Alipostaafu alihamia kwake Ruvu na aliwahi kugombea Ubunge kupitia Chadema bahati mbaya chama hakikumpa ridhaa
Mwambie huyo mwalimu aache ujinga 21 Ya mwezi tangu serikali ikalipa mishahara .
Nimefanya kazi kwa miaka 9 na serikali sijawahi ona mshahara wa tarehe 21 ya mwezi
Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo.
Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.