Recent content by nguvu82

  1. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuitikisa Dar - Septemba 07, 2015

    naombeni ratiba zake zote za dar nataka niwepo kuongeza nguvu kwa rais wangu mpendwa. popote ulipo tupo mpaka tufike kaanani
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    ana wivu huyo babu akae atulie, kisa kakosa yeye
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya moyo

    huyu MO11 na avatar yake huwa nafurahishwa sana humu na comment zako.........utakuwa mtu wa vituko sana.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba nijulishwe kuhusu vyoo vya kwenye ndege

    mbinguni mkuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nauli ya daladala kushuka

    ndio mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nauli ya daladala kushuka

    hi wana JF, hivi karibuni nilimsikia waziri wa nishati na madini akiongea kwenye TV kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku akisema kuwa bei ya mafuta imeshuka chini ivo anaagiza Tanesco kushusha bei ya umeme na kuagiza pia Sumatra kushusha nauli ya daladala na magari yaendayo mikoani...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti acheni kuwakalia uchi waume za watu

    hapa jirani kuna wana chuo mabinti wazuri kupitiliza mara nyingi wanashinda na kanga , bas ni hatari sana mara kanga imefunika unaona pichu anairudishia mara kainama unaona mzigo wote nyuma, huwa nawchek kupitia dirishani kwangu mpaka najishtukia kukaa nje, juzi kati nikatia sound mmoja ful...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    mahakama ikipitisha hili itakuwa imekosa uzalendo na heshima yake. huku mtaani hatutakuwa na imani tena na mahakama tutaendelea kuhukumu watuhumiwa sisi wenyewe huku mtaani.
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufundi wa mapenzi hauna mchango kwenye kuimarisha ndoa

    wachaga wa town wanajua mkuu ila sio sana! hawana hamshahamsha! kama kule pwani
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mwanasheria mkuu wa bunge zima, mrithi wa Werema ni wa serikali tu

    aliposema mwanasheria mkuu sio mshauri wa bunge niliona kama magamba walihisi kachemka kumbe siku zote hawajui kazi ya mwanasheria bungeni yupo kwa ajili ya nani, alipowaambia kuwa lina wanasheria wake wengi walijoina vilaza watu wanachanganya hii mihimili, mara nyingi mambo ya kibunge...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimewafukuza Polisi waliopanga kwenye nyumba yangu

    siku nikikuta polis anang'atwa na nyoka nitamsaidia nyoka kung'ata polis pia, hakuna upendo na utanzania, hatupendani raia wa nchi moja, tunaibiana na kuoneana, Mwalimu aliwahi kusema ukiona polisi hawana maelewano na raia uje uongozi upo mbali na raia wake.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

    nani amekwambia magufuli kapelekwa East Africa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Muhongo amfuata Jakaya Kikwete Uswisi

    ivi huyu ni mbunge wa jimbo gani?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Escrow kumuumbua Rais Kikwete

    Ukiongezea na zile Deci Escrow zinakuwa ngapi mkuu? tupe hesabu kamili
  15. N

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    bora wampe ila wasimuendeshe kwa remote! akipa mamvi awe waziri mkuu
Back
Top Bottom