Mabinti acheni kuwakalia uchi waume za watu

Mabinti acheni kuwakalia uchi waume za watu

Tamalisa

Ataanza kuuona wa mwanae,ama mdogo wake,ama mtoto wa bosi wake wakati anamuosha etc,kwahiyo wanayajua maumbile ya kiume vizuri tu.
hata mapenzi wanaanza bado wadogo sana na wanakutana uume za kila sampuli,wakati mtoto wa kiume anaweza fikisha miaka 25 hajawahi kuona coomer,zaidi ya kuiona kwenye vindeo.
 
Last edited by a moderator:
miss chagga

Asante ushauri mzuri sana, hata kwangu utakuja kunisaidia siku za usoni. Sasa je na kama akimkataza akaendelea?
 
Last edited by a moderator:
Elungata

Mh! sasa wewe haya basi bwana
 
Last edited by a moderator:
hapa jirani kuna wana chuo mabinti wazuri kupitiliza mara nyingi wanashinda na kanga , bas ni hatari sana mara kanga imefunika unaona pichu anairudishia mara kainama unaona mzigo wote nyuma, huwa nawchek kupitia dirishani kwangu mpaka najishtukia kukaa nje, juzi kati nikatia sound mmoja ful kutoswa. nimewakasirikia wote. mpaka wanipe.
 
Wanawake akili ndogo, na wengi wanaridhika mwanamke mwingine akisemwa vibaya na mwanaume una uhakika alioneshwa uchi huyo? Anaweza kuwa alikuwa na mpango ila ilipotokea huyo binti kaonesha interest kaendeleza wazo la moyoni mwake. Mara zote mwanaume akifumaniwa atamponda mwanamke aliyekutwa nae ili ufurahi wanajua ujinga wa wanawake.
 
asante ushauri mzuri sana, hata kwangu utakuja kunisaidia siku za usoni. Sasa je na kama akimkataza akaendelea?

basi ni tatizo la jamaa na aangalie kuna benefits zaidi au hasara zaidi alafu unafanya maamuzi productive
 
mmmh!!! au ni shauri ya kunywa supu ya pweza? saa zote mpo rijali?
 
Mwanaume kaonesha udhaifu sana....unajua kufanya hata majaribio ya kutembea na housegirl ni udhaifu wa hali ya juu..
 
Evelyn Salt;
Mwanaume akiona tu mapaja+uchi +mgongo wazi ukijumuisha makalio anakuwa zezeta, believe me

nakata tena kwa nguvu zote,, ww sema tu utakuwa unamtaman huyo mwanamke tangu kitambo.
Lakn haiingii akili eti kisa kanikalia wuchi ndio nimpende
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wanajamvi.

Jamani inasikitisha sana, pale binti anapoamua kutafuta mazingira tu na kuamua kumkalia uchi kwa makusudi kabisa mume wa mtu kwa lengo la kumpata, mkasa huu umetokea nyumba ninayoishi, kuna wapangaji vyumba vyao vipo karibu karibu, huyu mmoja ana msichana wa kazi, mwingine hana.

Huyu binti katafuta mazingira na kumkalia yule jamaa uchi kilichotokea ni yule jamaa kujikuta anaanza kumfuatilia msichana, na hali ukizingatia hakua hata na wazo na huyo dada na ni muda mrefu wanaishi hapo, kumbe dada na namba ya simu alishatafuta si ndo kuanza kuchati nae oh mpenzi sijui nini na nini.

Kindumbwe ndumbwe juzi wife wa jamaa kaona message, hapajakalika ugomvi na nyumba nzima wamejua. Jamaa akajitetea, ''Yaani mke wangu wala siko hivyo, na wala sina wazo na huyu mjinga, ila juzi tu nipo hapo uwani nafua nguo zangu si ndo akanikalia uchi, then badae ananitumia message tukachati, na wala sijui namba zangu kapata wapi''.

Aibu ndo hivyo tena!

Jamani mabinti acheni sio vizuri kumbuka hata na wewe utakuja olewa, kama unaona mwanaume haonyeshi muda na wewe muache na sio kumfanyia visa. Hawa viumbe 98% ni wadhaifu sana, Paja tu hoi, na nyie wanaume ukiona binti anakukalia uchi kama umetazama kwa bahati mbaya basi usigeuke tena potezea, hata binti atakuona una msimamo.



Thubutuuuu, jicho likiona ghafla, linataka kukomfemu ilichokiona ni kweli? kwa mara hii litaangalia kwa kuvizia lisionekane kama linaangalia!!
Asikuambie mtu, wenye kuangalia mara moja ni wachache sana.
Asante kwa kuelewa.
 
Ila jamani to be honest nyie viumbe ni hatari tupu, yani hata ukiona rangi ya paja tu hoi, mbona cc hatuko hivyo? mara ngapi tunayaona mkikojoa lakini hata hatustuki, mnavaa bukta na kutembea vifua wazi lakini wala, mkivaa taulo mnaenda kuoga vitu vinachoreka hadi unaijua saizi yake lakini wala?

Nyie viumbe ni shida tu, mabinti wachache sana walio kama nyinyi.

to be honestly huyo jamaaa kama mdau mmoja alivyochangia ni kuwa jamaa alikuwa alishaonyesha interest toka zamani kuwa anamtaka huyo mwanamke.. Yaani unikalie uchi nianze kumeza mate nyuchi zenyewe zilivyo mbaya hata wanaozimiliki hawataki kuziona wenyewe sembuse kuachamiwa.. Jamani acheni utani that man was beyond his mental ...
 
Jana nimekaliwa ovyo na madam mpangaji mwenzangu ni hatar,hadi leo napata tabu aisee,mzigo kila dakika unastand alaaa.Halafu hakuwa anabahatisha ni kusudi tu.
 
Tamalisa

Sijui nianzie wapi kukujibu
Kumuonesha mwanaume viungo asivyotakiwa kuona ni sawa na kumbaka! Utatizama pembeni na kwenda zako lakini ile image uliyobeba kama ulichoona ndo ugonjwa wako, it will torment you for a very long time. Utagusa ya mkeo lakini its not what you saw sasa.

NI kama simba akishakula nyama ya mtu, yani hapo itahitaji maombi. Sasa ukute mtu mwenyewe ndo unamuona kila siku na ushajua anakutega? Kwa kweli hayo ni majanga.Mi nilishasemaga, kuchepuka kwengine tusamehewe tu kwa kweli
.

Wambie maana hwaelewi hawa
Mzigo ndani y kipedo tu unanipa shid sembuse huu ulioanikwa wazi halafu sasa usiombe ukakuta mzigo wenyewe uko ndani ya kyupi nyeupe we......! lazima nikutafute
 
Back
Top Bottom