Recent content by Ngutunyi junior

  1. Ngutunyi junior

    Mkasa wa kweli: ungefanyeje?

    Kwenda tu ni kuonesha jinsi gani sio muelewa ungebaki usingejua na mapenzi yangeendelea ila kuenda sindio kuonesha sio muelewa kinga'nga'anizi ila mwenye kilanga aliliwi waka awekewi matanga jifunze kuwa na ukomo akuna msafi pote ukikatazwa Jambo uwe mwelewa
  2. Ngutunyi junior

    MITHALI.22:6 Mlete mtoto katika njia impasayo naye hatoiacha hata atapokua mzee

    Ni kweli usemacho ila kuna Jambo wapaswa ulitambue utumwa wa fikra ni mbaya kuliko unavodhani we uoni soni kuenenda tamaduni za kigeni ilihari vyako unavyo mnyakyusa anakwao na lugha yao alikadharika wew .ni mwafrika kuvikumbata vya mzungu ni dhambi toka kifungoni na ujitambue kwa upande wa pili
  3. Ngutunyi junior

    Mkasa wa kweli: ungefanyeje?

    Msamee tu mrudi home maisha yaendelee ila tabia ya kukatazwa Jambo na kung'ang'ania sio nzuri utakuja kufa bure mtu akikukataza Jambo uwe unaelewa maana umekuta ayo ungekuta makubwa zaidi si ungeumia moyo na kumwacha je ungepata faida gani kiranga si kizuri
  4. Ngutunyi junior

    MITHALI.22:6 Mlete mtoto katika njia impasayo naye hatoiacha hata atapokua mzee

    Bado upo kifungoni kama walivyokuwa wazazi wako sitaki kuamini kama ujui kwamba dini ni taasisi za watu fulani kwa ajiri ya shughuli zao binafsi nasio muumba kama ulivyokaririshwa ......acha nikupe elimu kidogo agent of colonialism waliku s ao mapadre nyie muwaitao wa missionaries wao walilipwa...
  5. Ngutunyi junior

    Uchawi uliong'arisha ulaya ni upi? Tufanyaje?

    Rejea kwenye history ya primary tu nadhani Kuna maarifa meng ujafahamu mzungu kabla ya kuja mwafrika alishakuwa na utaratibu wake wa maisha nikikukumbushe Jambo dago2 ujawahi kusikia kuhusu machifu zana za mawe zana za chuma iyo ni technology ilikuwapo kabla ya ujio wa watu wa magharibi mzungu...
  6. Ngutunyi junior

    Uchawi uliong'arisha ulaya ni upi? Tufanyaje?

    Uliwahi kusoma history vyema ungesoma usingesema ayo usumayo maana ujajitambua
  7. Ngutunyi junior

    Wahanga wa kimbunga Keneth warejea nyumbani na njaa

    Masheikh na wachungaji na mapadri mko wapi kwenda kuwaombea watu iko ki Kenneth kimbunga kirudi kwao au nyie kazi yenu nini
  8. Ngutunyi junior

    Electrical eel samaki anayetoa umeme

    Video vipi mkuu mbna atuoni
  9. Ngutunyi junior

    Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

    Iyo dp yako umeweka Nini napata shida kuielewa
  10. Ngutunyi junior

    Mwenye kujua tafsiri ya ndoto please

    Hahahahaahahaahahah alafu ilikuwa pilau nyama ujue
  11. Ngutunyi junior

    Mwenye kujua tafsiri ya ndoto please

    Shukrani kwa mawazo yako bro
  12. Ngutunyi junior

    Mwenye kujua tafsiri ya ndoto please

    Usiku wa Jana nimeota Kama nakula ivi ghafra nikajing'ata nikastuka kwa maumivi makala kujicheki nimeumia kweli ndoto Kama hizi wajuvi wa Mambo huwa namaaga gani msaada please
  13. Ngutunyi junior

    Hai: Wanafunzi 2 wa kike wa kidato cha pili wakutwa wakiishi kinyumba na mtu mmoja

    Kafaidi Sana uyo jamaa watoto 2 mchizi pekeake Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ngutunyi junior

    CD4 za Maisha zinaposhuka!

    Je ukiwa umejichunguza na kubaini Nini yakupasa kufanya ili Mambo yawe pouw msaada tafadhari Mshana Jr
Back
Top Bottom