Recent content by nguruwedume

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

    Wangeshughurika na wanaovujisha kwanza......
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

    Ukishaweka maamuz hadharani........ni vyema ukiamua vinginevyo urud tena hadharani kuongea na hadhara kuwapa feed back
  3. N

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Bila uhuru wa vyombo vya habari, Serikali itakuwa dumavu

    Membe chukua form..... Anaefanya kaz atapita kwa kura nyingi..... Mnahofu ya nn kama kweli tunauhakika rais juhud zake ziampa kura....
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

    Wakifanya uchaguz huru wapinzani hawawez kukosekana......
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtifuano mkali; Nini kinaendelea Kanisa la Tanzania?

    Hayo makanisa yote ni ya watu binafsi.... Wanagombea waumini haumini.........
  6. N

    JamiiForums Tanzania Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

    Yanga eeee ww
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

    Uoga ni kutojiamini...... Huenda haamini anachowafanyia watz that's why hofu hofu hofu..... na matumiz ya askari kulinda hofu zake
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe ni Mzigo, mtoe haraka vinginevyo abadilike

    Ametumwa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mwalimu Mstaafu atapeliwa milioni 60 za Mafao

    Matapeli wana mbinu nyingi jamani.... Tusimbeze huyo mwalimu....hilo linaweza kukukuta hata wewe unayejiita mjanja..... Tumuhurumie na tuendelee kuomba yasitukute hayo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea ni hofu ya kukosa Madaraka 2020, wala sio kukwamishana

    Ccm b naiona kwa mbaali
  11. N

    JamiiForums Tanzania Membe ameanza kutupa karata zake!!!

    Watumishi wa umma hata ukiwawekea nasi na magu watachagua nazi...... Kipindi chake hakijawa na afya kwa watumishi..... 2020 njoo tu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Waliogombea ubunge wakashindwa na nikawapa vyeo vya Kiserikali wasigombee ubunge tena, vyeo havitawarudia

    Aisee hawa wazee ujue wanaweza wakamkata jina kwenye kura za maoni..... Sijui atafanyaje
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    Ni wivu tu
Back
Top Bottom