Recent content by Ngurumoyaleo

  1. N

    INAKUWAJE MABOSI KUPEWA ZAWADI?

    Tatizo hapo ni viongozi wa vyama kurubuniwa na kukubali na hila za baadhi ya viongozi wao ili wapate upendeleo kazini. Mambo kama haya yalifanywa sana na Richard Masika wakati fluni apokuwa Chuo cha Ufundi Arusha. Alikuwa anarubuni viongozi wa vyama vya wafanyakazi na kupata zawadi za ufanyakazi...
  2. N

    Tundu Lissu: Mahakama yenyewe Tanzania inahitaji kukombolewa

    Hakuwa na jinsi ila kwa ukweli Mahakama ilipatwa. Kuna mtu anaitwa Moses Mzuna eti naye ni Mheshimiwa Jaji! Yaani yeye mwenyewe ni tatizo zaidi ya kutatua migogoro ya kesi anazotakiwa kuamua. Haijulikani vigezo vilivyotumika kumfanya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
  3. N

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Aliyefanya uharibifu wa bunge kujipa kila kitu ni Samweli 6. Yule bwana alikuwa wa ajabu na mbinafsi sana
  4. N

    Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

    Mimi ni mjinga, hebu nipeni ufahamu, eti VPN ni nini?
  5. N

    Rais Samia Suluhu Hassan, sambaratisha Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

    Naunga mkono hoja. Mama apewe muda na sapoti ajipange. Mpaka sasa anakwenda vizuri
  6. N

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

    Okay, napata picha sasa ya kwanini mawaziri wengi wakuu wa sasa ni lazima wapambane wapite bila kupingwa ili isiwakute ya Warioba
  7. N

    Nina hofu fulani kumhusu Joash Onyango

    Kichwa cha habari na ujumbe vinapingana
  8. N

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Very Goood! Hapo umenena Mkuu, Mama Mhe. Rais aachwe, apewe moyo ili aweze kufanya kazi zake kwa kujiamini na hapo atafanya kwa ufanisi
  9. N

    Nashauri tupunguze idadi ya wabunge

    Hapo umenena ndugu, CCM inaweza kuwa janga la Taifa kwa sababu mambo muhimu kama haya yaliwekwa katika katiba pendekezwa ya Warioba lakini maSISIem yalikataa sababu ya kujali matumbo yao tu.
  10. N

    Wanasimba tutamlinda MO kwa nguvu zote

    Aliyeamuru MO atekwe hayopo tena
  11. N

    Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

    Kwanini mali husika hazikuenda serikalini zikapelekwa ccm?
  12. N

    GE2020 Kutulazimisha wabunge tusiowachagua: Magufuli haogopi 'karma'?

    Haya maneno yatatisha wengi, Jambo likishinda watu wamwachie mungu
Back
Top Bottom