Recent content by Ngurubhe

  1. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kufundishwa na Rais Magufuli enzi za kufundisha kwake

    Wote mliomo humu ni wale mliomaliza form four na six juzi kati wakati yeye alifundisha zamani kidgo na hakufundisha kwa muda mrefu,yamkini hata product za mikono yake tunaweza tusiziskie hapa
  2. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Unapenda kuitwa jina la kwanza au la ukoo?

    Koo hazitakiwi kufa, hata jina langu la mwanzoni likipotea wala sioni shida,shida ni ukoo ukipotea
  3. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Msomi Chuo Kikuu Makumira ajinyonga kwa mtandio

    Kesi za wanafunzi wa chuo na sekondari zimekuwa lukuki
  4. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kuwafanya watu wasiongee!

    Serkali ya awamu ya tano imejitahidi sana kuthibiti watu kuongea ongea vitu mbalimbali.Na hasa kutoruhusu mikutano ya hadhara Hii imepelekea watu wasiowaaminifu kujificha humo na kufanya yao kwa sababu wanajua hakuna wa kuwataja!.Na serkali ishajinasibu kuwa hakuna ubadhirifu wa fedha...
  5. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Hivi maiti ni lazima kumvalisha sanda?

    Dini yako inafundisha nini?
  6. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mpaka mtu unafikia hatua ya kumiliki line ya mtandao wa Halotel?

    Sasa kusema tu hayo ya kitoto nani atauchukia huo mtandao? Maana hakuna hoja za msingi ulizoziweka ili tuone kwa kias gan huo mtandao haufai
  7. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Mbunge (CCM): Kwanini wimbo wa 'Mwanaume Mashine' umefungiwa?

    Akina Milinga wengi sasa!!?
  8. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Orodha ya raia wasio na hatia waliouawa na polisi tangu 2015

    Nilitegemea umeorodhesha,kumbe unataka sisi ndiyo tuoreshe??
  9. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana huu ukawa ni mwanzo wa mwisho wa Bash boy

    Hivi siku Ben akajakuonekana itakuwaje?
  10. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Ahahaaha.. Aliekuzaa wewe ni mwanaume au hana jinsia ? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto

    Ila anavyoliendesha bunge mim siwezk kumpigia kura Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

    Nimekuwa nakutana na wanafunzi wanapiga makelele, na wakimuona mwl wa kike wala hawaachi. Lkn wakimuona wakiume utaona wanakaa kimyaa.. Lakini pia hata nikiwa natambulishwa tu huwa naona utofauti mkubwa sana kati ya wanafunzi wanavyomchkulia mwl wa kike na wakiume... Sent using Jamii Forums...
  13. Ngurubhe

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "

    Nimejarbu kupita karibu shule zaidi ya 300, nikitembeza vi-handouts kwa masomo mbalimbali. Awamu ya kwanza nilitembeza mkoa wa Dar es salaam, kisha Iringa, Moro, dom, singinda na Tabora. Nilikutana na walimu kadhaa maofisini wakiwa na ari ya kufany kazi sana. Hata wengine walininyima kabisa muda...
Back
Top Bottom