Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,047
Serkali ya awamu ya tano imejitahidi sana kuthibiti watu kuongea ongea vitu mbalimbali.Na hasa kutoruhusu mikutano ya hadhara
Hii imepelekea watu wasiowaaminifu kujificha humo na kufanya yao kwa sababu wanajua hakuna wa kuwataja!.Na serkali ishajinasibu kuwa hakuna ubadhirifu wa fedha!
wanasaisa na hasa wapinzani wamekuwa wakiibua mambo rukuki hasa kwa sababu wamekuwa wakipewa nafasi ya kuongea.
Awamu hii imefanikiwa kuwanyamazisha kwa kutoruhusu mikutano ya Hadhara na mikutano mingine ya kujenga vyama ambayo kupitia kwayo mambo mbalimbali yamekuwa yakiibuliwa!.
Faida moja kubwa ya wapinzani ni kuibua mambo ambayo wasaidizi wa raisi wa huku chini wanayafanya.
Lakini kuwafanya wasiongee basi tunawafunika baadhi ya WAOVU kwa mwamvuli wa nia njema ya serkali;baadhi ya watu ambao rais anaweza asijue kama wanafuja fedha za umma kwani tayari tumeashaamini kuwa kila mtumishi ni mwema wakati ukiangalia mtumishi mmoja mmoja wapo wasiowaaminifu!.
Wapinzan ni kama referee,na serikali ni kama wachezaji.tukiwamyamazisha wapinzani ni sawa na kumwambia referee asipige filimbi hata akiona foul!
Kumbe basi Rais na serkali yake kama kweli anania ya kudhibiti ubadhilifu wa fedha,anatakiwa ajifunze kupitia hili la maji kama walivyosikika wabunge wakilalamika.Tusisubiri hadi lije kuongeleea bungeni kwenye kinga wakati watu wameshapata shida huku mtaani
Awaruhusu wapinzani wafanye mikutano ya hadhara,hao wapinzani wanapoongea atakuwa anachambua na kuwajua wasadizi wake huku chini wanafanya nini.Nia njema ya rais(serkali) haihalibiki kwa kuibuliwa uozo wa serkali katika eneo fulani!.