Recent content by NGUNILA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Mama yake hawezi kuuwawa kwasababu yy na mwanaye mchezo mzima anaujua.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Nakubaliana na ww 100%, asante sana mkuu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Kishili si kweli, zitto kalewa sana sifa mpaka sasa anataka kuharibu chama, kwa taarifa yako zitto anatumika sana na magamba.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Viongozi wa chadema watoe pole ya nn wakati yy zitto na mama ndo wanaitumikia ccm, washindwe na walegee.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    [mungu aliumba dunia kwa nia njema kabisa, wanaoharibu ni wanadamu] mwanadamu ni mwanadamu ni tu, unafiki ni mbaya sana, binafsi mtu hawezi kunibadilisha ufahamu wangu, master wa mambo haya yote ni zitto kabwe mwenyewe, zitto tafadhali shibe yako si ya watanzania wote. Zitto asije akafikiri...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa nashindwa nikae na mke yupi??

    Wote hao wanaokuponda ni wanafiki tupu, wana vimada kila kona na wengine wamezaa watoto wanafanya kuwakataa.pumbafu kabisa.mwanaume kukaa bila demu kwa miaka minne haiwezekani na mke mmoja pia haiwezekani. Ushauri wote wambie ukweli bayana atakaye kula kona achana naye, na kama wote watakubali...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mtwara: D.B SHAPRIYA Vs DANGOTE...

    wezi mara nyingi ndivyo walivyo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kituo cha polisi Bumbuli chachomwa moto

    ndugu yangu Selungo, kama ni uchaguzi hao watakuwa ccm, kwa maana wana hasira ya kushindwa uchaguzi huo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sadifa: Sijawahi kuwa kichaa

    Hivi wewe KAVYINABHUHIYE wanachama wenyewe wamekiri kwamba mwenyekiti wao ni kichaa, na kwa jinsi nchi inavyotafunwa ni mtu ambaye ni kichaa pake yake anayeweza kushabikia ccm kwa sasa. kama unaona maada ya saanane haiko sahihi basi na wewe ni kichaa pia.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sadifa: Sijawahi kuwa kichaa

    sawa sawa kabisa Ben.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Limevunda CHADEMA

    Zitto unaye msema ni gamba mwenzenu ndio maana mnampenda. Kiongozi yoyote wa cdm hawezi kupendwa na magamba hata siku moja. Mta ng'ang'ana sana lkn muda wa kuondoka umefika.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Lema: Nitaondoka katika Ubunge Arusha Mungu akiamua

    Huyu ndiyo type watu wanaoongoza chama, kama ameshindwa kutafasiri kauli ya lema unategemea nn kwenye chama na serilkali, hao ndo washauri wa nape na kinana pamoja na rais.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo na ajira BoT

    wakuu kwani hamjui kwamba elimu za watoto wa vigogo ni za kuungaunga, wengi wao ni bange na madawa ya kulevya. Na wegi wao wamepachikwa sehemu nyeti pamoja na ubwege wao na ndo maana nchi yetu haiwezi kuendelea kwasababu wengi wao ni vilaza wa kutupwa. Wakati wote ni kufikiria bar, bange na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

    Mm siwashangai kwa maana wanajua 2015 hawawezi kushinda uchaguzi,hivyo wanajaribu kuwanda wototo wa shule kama hazina yao ya miaka ijao, huku wakiharibu elimu ya watoto wa maskini wakati watoto wao wanaendelea kusoma tena shule nzuri. Pumbafu hawa.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Kituo chenyewe kilichomwita kwa mahojiano kinamilikiwa na kada wa ccm, unategemea nn. Huyo mchumia tumbo tu. Anawaza kupewa cheo.
Back
Top Bottom