Mi niko Arusha umeme kwangu umekata tokea mchana jirani angu tunaeshea line anao naomba mje kunirekebishia, niko makao mapya jengo ni LIMPOPO karibu na KEN GARDEN. naomba sana
Juzi nimekasirika sana baada ya kwenda tanesco na kuchukua savea mita kama 30 kutoka kwangu umeme upo.
Jamaa hata kushuka kwenye gari hajataka kaniambia hatupimi nguzo huku subiri mradi ukija, sa nawauliza tanesco mnatusaidia au ni biashara mnafanya, sawa nakubali Kuwa mradi utakuja ila Kwa...
Watanganyika wenzangu hivi nani katuloga? Niliwahi kusema hicho ni kiungo cha chakula watu bado mwataka kuona mabadiliko ya maumbile, hapo ni sawa na kusubiri meli ubungo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.