Recent content by ngumbuke

  1. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naikumbuka moja ya 1996/97 tukiwa na forward wa kijerumani....tuliwapiga 4-2.
  2. ngumbuke

    Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

    Ninamkumbuka sana kwa namba 24,25,26, 38, 41 na 43. Hakika kwangu ni Rais bora kwani nimeishi kipindi chake tangu nasoma, naaanza kazi, naoa mpaka sasa nina mjukuu.
  3. ngumbuke

    Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Upo kaka! Mwamba alitubeba sana; sasa kawabeba Waarabu. Huyu alipaswa kuondoka Congo at the age of 23 kisha aje Tz at that age apige soka kwa miaka 3. Sasa alipaswa kuwa Ulaya ila ndo yuko Afrika na umri umeshaenda. Goal poacher wa kariba ya Ruud Van Nistrooy. What a good game for him!!!!!?
  4. ngumbuke

    Mbeya City FC wako on fire vibaya mno

    Hili ndilo linakera.....tunapaswa kuweka usimba na uyanga pembeni tubaki na timu yetu ya KUKAJA (Wana koma kumwanya)
  5. ngumbuke

    Mbeya City FC wako on fire vibaya mno

    Kaka! Uko hapo kiwanjani?
  6. ngumbuke

    Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

    Kumbe mwamba leo ndo anakumbuka kuzaliwa kwake! Heri ya siku yake ya kuzaliwa.
  7. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Unless we're building the as Arsenal do; it's ok....
  8. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sijui yuko homeboy wangu siku hizi?
  9. ngumbuke

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huku hakuna vingereza kama kule kwetu wala hakuna uchambuzi.
  10. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Teh teh teh! Ulipowataja hawa nimemkumbuka babu McAllister, alitubeba sana miaka ya 2000 mwanzoni hasa kwenye kombe la Washindi la Ulaya-Europa Cup. Nafikiri alitokea Coventry ana asili ya Ireland.
  11. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    No I can't
  12. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Another big NO!
  13. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Big No!
  14. ngumbuke

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kama ulivyowapanga mkuu!
Back
Top Bottom