Mhe. Magufuli hana haja ya kufanya kampeni ya hasara elfu 2020, kwakupitia vyombo vya habari ataomba kura. Hakuna haja ya kuzurura kuomba kura wakati utendaji wake unaeleweka.
Sisi Wakwere tuna methali isemayo : kidege che sikiumanyile ulimbo kigwilaga na mabawa gose. Yaani, ndege asiyeujua ulimbo, hunaswa na mabawa yote. Ndege kanaswa, dawa yake ni kuliwa tu!
Mnamjua yule nyoka mkubwa duniani, ANAKONDA, kwa Kauli mbiu hapa ni kazi tu, yaani mmemezwa wazima wazima. Mafisadi wote wataoza, kwa sasa wanafurukuta wakati ANAKONDA ndo kisha meza hivyo. Bye bye ufisadi, bye bye rushwa n. k. Watakao isoma namba si wapinzani peke yao, CCM walio mafisadi ndo...
Hakuna cha ajabu, tumesahau kwamba viongozi ni wstumishi wa wananchi, aaahaa! ndio maana kupata uongozi mpaka muhongeee, basi kwa Mhe. Magufuli mmekula wa chuwa - hapa kazi tu, no luxury.
. Mhe. Magufuli anatumua formula na experiment lab, baada ya hapo anatoa maagizo. Jk yeye alikosa fomula, yeye ni mtu wa art alijitahidi kumtengenezea Mhe. RAIS atafanya vizuri sana ;tumpe muda, tugange yaliyopo na yajayo.
Ingawa nchi mbili Zanzibar na Tanzania bara tumeungana lkn kimtazamo tunatofautiana sana. Mbara anaangalia alama za nyakati, Mpemba yeye liwalo na liwe ilimradi CUF ishike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.