Msm.nyakatomlimani
Member
- Jan 24, 2015
- 73
- 24
Wana JF mnadhani ni kitu gani alichokifanya au kutokifanya Rais anaendoka Kikwete akiwa madarakani na sasa anajutia
Wana JF mnadhani ni kitu gani alichokifanya au kutokifanya Rais anaendoka Kikwete akiwa madarakani na sasa anajutia
. Mhe. Magufuli anatumua formula na experiment lab, baada ya hapo anatoa maagizo. Jk yeye alikosa fomula, yeye ni mtu wa art alijitahidi kumtengenezea Mhe. RAIS atafanya vizuri sana ;tumpe muda, tugange yaliyopo na yajayo.