Nini kimemsibu Anne Kilango?

Nini kimemsibu Anne Kilango?

Labda lemutuz hakumfanyia kampeni mama yake wa kambo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unashangaa. Siasa za bongo Ukiwa point A hufai kabisa wewe ni mchafu najisi (unfit for human consumption) lakini ukihamia point B wewe uko msafi halali kabisa! Jamaa alisema hawa jamaa nawajua vizuri sana ni wezi wa kura lakini msihofu nyinyi lindeni kura za wabunge lakini zangu (urais) niachieni mimi mwenyewe. Lakini baada ya kura jamaa akawa wa kwanza kupiga kelele kwamba ameibiwa kura. Jamani si alituambia tulinde za ubunge za urais tumwachie mwenyewe?
Jamaa aliletwa huko ili kuharibu ushindi wa ukawa, kazi ameshamaliza anarudi kuchunga ng'ombe.
 
Cheo cha uwaziri kilimponza, watu walizoea kusikia akiongea ukweli ghafla akaanza kuongopa hadharani!
 
Do you get the logic behind his statement? Au unakurupuka tu?

kujenga na kuchambua hoja na magamba inaitaj uvumilivu mkuu haelewi hata lugha ya kuimply huyo ur wasting ur time!!!!
 
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?

Wacha alee familia, ana mitoto mingine iko 50+lakini akili zao ni sawa na tinejaz
 
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?

@W.J.Malecela
 
Ndio maana Le Mutuz anarusha maneno mbofu mbofu.
 
Ndio maana Le Mutuz anarusha maneno mbofu mbofu.
Ataachaje kurusha matusi wakati alizoea kula kulala kwa ma mdogo.

Sasa baba mama mtoto watakuwa wanajazana sebuleni wakigombea remot ya tv kumwangalia Sugu akimwaga nondo bungeni.
 
UKWELI NI HUU.
1/Chaguo la watu wa Same Mashariki lilikuwa ni Mama Kaboyeka toka mwaka 2005 ila mizengwe ya ndani CCM ndio ilikuwa ikimzuia asiwe mbunge.

2/Anne Kilango Mallecela hakuwahi kuishi Same kabla ya kuwa mbunge na hata baada ya kuwa Mbunge.

3/Anne Kilango alikuwa akipata Ubunge kwa kutumia Nguvu ya Pesa, umaarufu wa CCM, Vitisho vya kishirikina na Ujanja ujanja wa kuiba kura.

4/Kuanzia mwaka 2010 Anne Mallecela hakuwa tena mpambanaji dhidi ya Ufisadi, alikuwa kimya bungeni, akapewa na unaibu waziri wa Elimu katika serikali ya kipumbavu ya JK.

5/Mwisho kabisa, Anne Kilango na CCM walikuwa wamechokwa sana na wananchi wa Same Mashariki, na wakati huo huo CHADEMA alikuwa imeshamiri sana katika maeneo yote ya Same Mashariki, ndio maana CHADEMA wameshinda ubunge na kupata pia madiwani wengi hivyo hata halmashauri ya Same itaongozwa na CHADEMA.
 
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
labda amejitokeza mbora zaidi yake
 
Ataachaje kurusha matusi wakati alizoea kula kulala kwa ma mdogo.

Sasa baba mama mtoto watakuwa wanajazana sebuleni wakigombea remot ya tv kumwangalia Sugu akimwaga nondo bungeni.

....Kamanda mbavu zangu
 
Back
Top Bottom