Recent content by nguamo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

    Kozi nyingi zilianzishwa kwa ajili ya biashara hazina uhalisia unakukuta majina ya degree ni tofauti lkn content ni ile ile hakuna haja kuwa na utitiri wa degree ambazo content inafanana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

    Jamaa yupo sahihi kabisa , wanatupurura kila kitu hata sasa kiongozi mkuu Mzanzibar kwa URT na Kule kwao mzanzibar
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    Nauliza tu barua kutoka tume iko Wap mbona naona barua yake tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania INEC: Kuhusu upotoshaji wa kuunganishwa kwa mfumo wa uchaguzi na mifumo mingine

    Nauliza tu matokeo kutoka majimboni kwenda tume yanapelekwa na gari au kwa njia ya mtandao !
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Kuanzia mwezi November atakuwa huru hakuna kesi hapo
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu Wasitengeneze Videos! Ukweli Ni Huu - Samia Alipogoma Kutoka ukumbini

    Polepole yupo sahihi kabisa ,huu ni ubakaji wa demokrasia ndani ya chama
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    Mo utajiri wake ni billioni ngapi mpaka aipe Simba billion 67 nauliza tu!!!
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa klabu ya simba sc pamoja na mchezaji wao jean charles ahoua!

    Ni mchezaji ambaye hata kama ni mfungaji bora anapaswa aachwe au atafutwe namba 10 mwingine aanzie benchi , hana creativity, hana speed , anachelewa kufanya maamuzi, mbinafsi anataka afunge yeye tu , upigaji wake wa faulu hawashirikishi wenzake angalau wafahamu anapiga moja kwa moja au anapiga...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi Kumuelewa Kocha wa Simba Fadlu Davids

    Tatizo la Simba kwa upande wangu sio kocha, tuna wachezaji wana quality ndogo . Pia club ya Simba inapaswa iangalie mfumo wake wa uchezaji kwasababu makosa yanayofanywa na timu ya wakubwa ndio Yale Yale yanayofanywa na timu ya under 20 na Simba queen
  10. N

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Vita vya tatu vya dunia vimeshaanza, badala ya kufanya maandalizi Tanzania tunahangaika na siasa uchwara
  11. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

    Kama wana haki ya kupiga kura kwann wasiwe na haki zingine!!!
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya Timu za Taifa Afrika

    No reform no election
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaenda AFCON TFF Tafuteni kocha mwenye CV

    Kwenye inshu ya tactical na technical organisation kwenye Mpira , ubunifu wa kocha hakuna kiti pale halafu huyu pia ana kaunzanzibar Fulani kwenye kuita na kupanga kikosi. Naunga mkono hoja 100%
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuacha na kusajili Simba msimu ujao wa 2025/2026 ni Hawa hapa vinginevyo Yanga atakuwa bingwa milele

    Tatizo la Simba sio wachezaji kuna tatizo kwenye mfumo wa ufundishaji na falsafa ya uchezaji wa timu licha ya kuwa na wachezaji quality ndogo. Makosa yanayofanywa na under 20 ndio Yale Yale yanayofanywa na Simba queen na hii ya wakubwa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Eid Al Adh haa ( Eid An Nahri pia Eid Al hajj )1446 Hijriyyah / 2025 Miylaadiyyah

    Tunachotakiwa tutambue ni kwamba 1. Kuna mwezi mmoja tu unayoizunguka dunia Na dunia inalizunguka jua 2. Mwezi unaweza kuonekana sehemu Fulani na sehemu nyingine usionekana kwasababu mbalimbali kama vile mawingu 3.Dhana ya kuseme huu ni mwezi wa kitaifa ni dhana potofu, hakuna mwezi ambao...
Back
Top Bottom