Recent content by Ngozi Joram

  1. Ngozi Joram

    Hivi huyu kijana wa CHADEMA ni msaidizi wa Mwabukusi? Ameenda Dodoma kama nani wakati sio wakili?

    Sasa ukiona amechaguliwa ujue mawakili Tz ni wehu so wameamua kumchagua mwehu mwenzao awaongoze . Unapata shida gani wehu wakichaguana?
  2. Ngozi Joram

    PreGE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

    Inahitaji kurudi darasani siasa za CCM? Kwani hatuko nao nchini? Kwani ni siri kuwa wanavurugana? Usijifariji tulia kunywa maji
  3. Ngozi Joram

    Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

    Fuatilia kwa kina kilichomtoa CDM
  4. Ngozi Joram

    Dawa ya kuondoa sumu mwilini

    Halafu article yako naitilia mashaka unasema Waafrika wengi wanakufa kuyokana na sumu mwilini. Njia zinazojaza sumu zinatumiwa na wanadamu wa duniani kote iwe Ui gereza marekani nk. Lakini sumu inatajwa kwa waafrika tu??? Uko serious ndg??
  5. Ngozi Joram

    Dawa ya kuondoa sumu mwilini

    Ungekua hujaweka namba za simu ningejaza macho kuso.a vzr. Nilivyoanza tu kusoma nilinua hili sio somo ni tangazo la biashara nikaruka mwisho nakuta contacts duh haya bana watakuja unaowasubiri
  6. Ngozi Joram

    Kama sijajenga wala kuwa na usafiri binafsi sitaoa maisha yangu yote

    Sawa hata mawazo yako ni sawa tu na umri wako 23 yrs. Maana uko kinadharia tu
  7. Ngozi Joram

    Inakuwaje wale waliokuwa washika mkia darasani ndio wanaongoza katika maisha?

    Umeongea kinadharia sana. Ungefanya wakau kautafiti ka sampo walau ya watu 300 tu ukatuletea hapa sio kama ulivyofanya. KWANI wapo waliokua wenye akili sana darasani wamefanikiwa sana na wapo ambao wako kati wakipambana na hali zao. Pia wapo ambao hawakua wakijiweza sana darasani leo hii...
  8. Ngozi Joram

    Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

    Salaam mtaalam wa ngozi. Shida niliyonayo mm huwasha nikioga maji yakaukapo mwilini. Hasa nikijifuta maji ndo nakaribisha muwasho sana ila yakikauka bila kujifuta huwasha kidogo
  9. Ngozi Joram

    Jamani mke wangu ana wivu au mashetani?

    Labda amekamata mimba huyo. Kipindi cha mabadiliko hali kama hiyo yaweza kutokea na ikamsumbua sana asipokuona. Ila kama yu mkavu tumboni basi pambana na hali yako bro
  10. Ngozi Joram

    Hivi ni lazima mtu anayesaidiwa maisha awe loyal kwa huyo aliyempa huo msaada

    Hakukua na makubaliano yyt. Yaani msaada uliotolewa was not a deal. Hivyo kanuni inayotembea hapo ni TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI. kwani wakati unafanya uamuzi wa kutoa msaada ulijua tabia mtizamo na misimamo ya msaidiwa??
  11. Ngozi Joram

    Kwanini matajiri wengi wana roho mbaya?

    Mimi ktk harakati zangu nimejifunza mengi. Nitawatetea matajiri. Iko hivi hakuna tajiri anayependa kufilisika. Hivyo fursa yeyote ya kupoteza hela kizembe ni shida kubwa kwake. Sasa mara nyingi watu wasio na uwezo sehemu tofauti iwe mamlaka za serikali au waajiriwa wao nk hufikiri kuwaibia hawa...
  12. Ngozi Joram

    Tujadili Sheria inayosimamia viapo, hususani kiapo cha ndoa

    Kuna sheria ya ndoa si ya viapo. Tena sheria ya ndoa yenyewe haijaandikwa ili uwe na ndoa nzuri bali inasaidia kulinda haki za wanandoa na watoto pindi mnapotaka kutengana ama kuachana. .kiapo komaa nacho mwenyewe muapaji.
  13. Ngozi Joram

    Mwanaume rijali ni yupi?

    Mtoa mada nadhani umeanduka ukiwa na stress. Sasa urijali na hayo maendelo wapi na wapi? Urijali uwezo wa kujamiiana na kuzalisha. Mtu aweza fanya yote uliyoonyeshapo juu hata kama hana mtoto yaani hawezi kuzaa na wala hana mke anaweza kujali ndg zake akaoambana na maisha kwa nidhamu kuu...
  14. Ngozi Joram

    Baraza la "Hikma" Kuhusu Amri za Baba!

    Luqman luqmam Maloto weweeeee. Mnh
Back
Top Bottom